King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,581
- 1,357
Vile visivyo na mtandio bei ya jumla sh. ngapi?Bei ya jumla ni 12,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vile visivyo na mtandio bei ya jumla sh. ngapi?Bei ya jumla ni 12,000
Zile huwa zina demand kubwa sana sokoni.Hivi zile aluminum foil, box lake zima zinakuwa ngapi na bei ya jumla ni kiasi gani?
Nazihitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni mnielekeze ni wapi nitapata Perfume za kupima.. sample tofauti...kama creed, invictus,..etc
Nenda aggrey Ulizia Kwa Mnigeria Utapata Vyote.
Sikalibu namsiki wa manyemaPerfume & spray kwa bei nzur nenda karibia na uwanja wa mnazi mmoja ulizia duka la hussein ni muhindi anapua ndefu huyu jamaa yupo vzr san mm nanunuaga perfume pale kwake ni 13,000 lkn maduka ya kawaida ni 20,000 mkoani nilikutaga arusha nikauliz nikaambiwa 30,000
Sikalibu namsiki wa manyema
Mhindi huyo sianamtusi tusi sanaYeaah ofcoz nafikr kitu km hicho japo kuna msikit pemben ila sijajua unaitwaje na kuna maduka
Mhindi huyo sianamtusi tusi sana
Namba hizoNaombeni mnielekeze ni wapi nitapata Perfume za kupima.. sample tofauti...kama creed, invictus,..etc
Khaaa Kariakoo tunanzia 50000767 113323, Makumbusho yupo. Bei ni kuanzia 35k
Quality matters a lot, ujazo pia, na aina ya manukato nahisi hata location ya biashara inachangia pia[emoji16]Khaaa kariakoo tunanzia 5000
Quality ndo hiyo hiyoQuality matters a lot, ujazo pia, na aina ya manukato nahisi hata location ya biashara inachangia pia[emoji16]
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Ookay, ningependa kupafahamu hapo kkoo na mawasiliano yao kama hutojaliQuality ndo hiyo hiyo
Nnapochukulia nadhani hata hao wa makumbusho walianzia hapo kabla hawajaanza kuingiza mzigo wao
Taste ya Hapo kwa Hao wapemba au huyo Muhindi kazi ni ile ile.
Nimeweka namba hapo juuOokay, ningependa kupafahamu hapo kkoo na mawasiliano yao kama hutojali
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Looh hata mimi mitaa siijui mle. Nguvu ya bodaboda au mwenyeji itahusika tuNimeweka namba hapo juu
Mitaa inanishinda kuelekeza,
Huyu kaacha kuuza nimeongea nae kasema hauzi tenaNamba hizo
Mcheki huyo atakuelekeza mtaa anapima vizuri 0785696815