Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Bila kupoteza mda.

Kwa yeyote anaefahamu sehemu ambayo naweza pata ream paper A4 kwa bei ya jumla Kariakoo tuwasiliane.

0672068182
 
Nenda Kariakoo Shimoni Uliza Duka La Tahfif Lipo Barabara
Hapo Hapo Yapo Mengine Utapata Kwa Bei Nafuu
 
Habar zenu, Nahitaji kujua machimbo ya madera kwa bei ya jumla kama kuna mtu pia anajua connection na process mzima ya kupata madera kutoka Mombasa naombeni msaada ndugu?
 
Mwenye kujua chimbo la jeans za special k.koo anijuze,
Kuna sehemu jumla wanauza 14,000
Sehemu nyingne 12,000.
Natamani kujua huyu anaye niuzia kwa 12,000 yeye ananunuaje(Note haagizi china mana siku nyingne akikosa chap anaenda nichukulia)

Kadet na 4m6 pia...?
 
Msaada kwa anayefaham Chimbo la suruali za mtumba kali za jeans, pia Chimbo la suruali za vitambaa na mashati ya ofisin na Chimbo la Formsix kali. zote hizo ni mtumba.
Mkuu ulipata chimbo?
 
Naombeni kujuzwa wapi wanajumlisha mashati ya shule aina ya tomato, pia naombeni chimbo la viatu vya shule na chimbo la soksi za shule
 
Utanijuza na mimi mkuu..

Mana mimi kwa style hyo nlitafuta sana kutafuta wanaponunulia wale wanaoniuzia mitandio...sikufanikiwa kamwe
 
1:Wapi nitapata Madera ya kisomali kwa Bei ya jumla?
2: Vijora vya Mombasa nikiamua kuvifata hukohuko Mombasa si ndo vizuri au Mombasa Ni jina tu?
3:Mashati ya kiume jamaa naona wanauza jumla 11000 je wao wanachukua wapi na kwa shngapi?
 
Naombeni kujuzwa wapi wanajumlisha mashati ya shule aina ya tomato, pia naombeni chimbo la viatu vya shule na chimbo la soksi za shule
Soksi ni kule kwenye chupi

Shati zipo kwenye duka za jumla za nguo za watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…