shangoo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2015
- 325
- 361
UlifanikiwaAnaejua wanapouza motor za kusagia Unga kuanzia hp 25 tujuzane wakuu natanguliza shukran zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UlifanikiwaAnaejua wanapouza motor za kusagia Unga kuanzia hp 25 tujuzane wakuu natanguliza shukran zangu
Badoo mkuuUlifanikiwa
Dada mmoja nnamfahamu, hukosi vity kwakeNenda aggrey Ulizia Kwa Mnigeria Utapata Vyote.
Nenda mtaa wa aggrey, ulizia kwa mnigeriaWadau anaejua chimbo la kupata betri hii ya hp laptop kwa Kariakoo, tujuzane tafadhali.View attachment 1646413
Asante dearestkuna sehemu mbili
kule mtaa wa Cello na kuna huu mtaa wa pili kulia baada ya kituo cha mwendokasi msimbazi B
Shukran mkuuNenda Kariakoo Shimoni Uliza Duka La Tahfif Lipo Barabara
Hapo Hapo Yapo Mengine Utapata Kwa Bei Nafuu
Mkuu ulipata chimbo?Msaada kwa anayefaham Chimbo la suruali za mtumba kali za jeans, pia Chimbo la suruali za vitambaa na mashati ya ofisin na Chimbo la Formsix kali. zote hizo ni mtumba.
Utanijuza na mimi mkuu..Mwenye kujua chimbo la jeans za special k.koo anijuze,
Kuna sehemu jumla wanauza 14,000
Sehemu nyingne 12,000.
Natamani kujua huyu anaye niuzia kwa 12,000 yeye ananunuaje(Note haagizi china mana siku nyingne akikosa chap anaenda nichukulia)
Kadet na 4m6 pia...?
Habari zenu wadau naomba kujulishwa chimbo la vikorokoro vya kitoto kama vile baby walkers , baby cars , baby bicycles na kadhalika wanapouza kwa jumlaMkuu ulipata chimbo?
Soksi ni kule kwenye chupiNaombeni kujuzwa wapi wanajumlisha mashati ya shule aina ya tomato, pia naombeni chimbo la viatu vya shule na chimbo la soksi za shule