mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Acha utapeli wewe, eti umeibukia kuuza ma-jeans.πππAnayetaka jeans quality za kijanja kwa watu wanaojuwa kuvaa anicheck inbox. Bei ni 25,000/=
Tapeli huyo tunamjua kitambo, kwanza analelewa kwa shemeji yake.Inategemea na ushamba wako, shati unanunua sh.ngapi ??
Labda wewe niwakuja mjini... Unaamin vitu vinanunuliwa hussein pamba kali tu
0757 100 555 wacheki haoMimi naomba msaada anaejua suppliers wa vifaa vya kupikia na kupambia keki na mapambo ya sherehe kwa jumla.
Thanks in Advance
Mr mi ninauza nguo za kiume hapo Kariakoo pia...Mzigo nasafiri kabla ya korona na naagiza baada ya korona....Shati ya Elfu Saba quality hakuna...labda Mtu afanye sell Ronya tenaa!Acha uoga... Neda Kariakoo... Kila kitu ni bei poa ukijua kuongea tu..
Zile shart za high classic mnazo uziwa Hussen pamba kali.. Kariakoo unakuta 7000 tu..
Nenda pale soko kuu... pembeni Kuna soko dogo liliboreshwa vizur...ukiulizia tuu pale utaelekezwa mule ndani ya Hilo soko dogoNaomba kufaham chimbo la mifuko hii ya packeges .kupakia Bidhaa kama karanga,Michele nk...
Hiyo niliona jamaa Instagram anatangaza anauza laki 1.5 ila sikumbuki jina laoChimbo gani nitapata mashine za kusagia karoti mfano wa hii kwa bei nafuu.
View attachment 1683981
Msaada wandungu.Naombeni chimbo la hizi sandal kariakoo wakuu
Ikiwezekana na range ya bei kwa jumlaView attachment 1692671
Nenda mtaa wa narungombeMsaada wandungu.