Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Naomba connection ya machimbo wanayofungua viatu vya mtumba na mashati ,kkoo mazee na siku pia.
 
Acha uoga... Neda Kariakoo... Kila kitu ni bei poa ukijua kuongea tu..

Zile shart za high classic mnazo uziwa Hussen pamba kali.. Kariakoo unakuta 7000 tu..
Mr mi ninauza nguo za kiume hapo Kariakoo pia...Mzigo nasafiri kabla ya korona na naagiza baada ya korona....Shati ya Elfu Saba quality hakuna...labda Mtu afanye sell Ronya tenaa!

Shati zimeshuka Bei kidogo kutokana na watu wanaagiza tuu so Ile gharama ya ndege,hotel nk imepunguza Bei kidogo...Tuwe realistic na wakweli.

Shati za Elfu 10 zipo lakini huwezi sema Ni quality Sana hata Tshirts pia[emoji625]
 
Naomba kufaham chimbo la mifuko hii ya packeges. Kupakia Bidhaa kama karanga,Michele nk...
 
Chimbo gani nitapata mashine za kusagia karoti mfano wa hii kwa bei nafuu.
Screenshot_20201211-142919~2.png
 
Naombeni mnijuze wapi pa kupata viatu vya jumla vya kike Kariakoo pamoja na bei zake. Kama kuna mwenye sample pia naomba kuona.

Asante
 
Naombeni chimbo la hizi sandal kariakoo wakuu
Ikiwezekana na range ya bei kwa jumla
20210202_172526.jpg
 
Nna bags za watu wa mpira na wasio wa mpira simple bags za kusafiria.....
Jumla 35,000
Rejareja 45,000

WhatsApp/Call: 0686942315
IMG_3489.jpg

IMG_3488.jpg

IMG_3487.jpg


IMG_3475.jpg

IMG_3473.jpg

IMG_3472.jpg

IMG_3466.jpg

AF305ADA-F746-4582-A2D3-2DCA38F7B112.jpg
 

Attachments

  • IMG_3486.jpg
    IMG_3486.jpg
    122.9 KB · Views: 31
Back
Top Bottom