Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Unajua jinsi ya kuagiza mkuu
 
Wakuu wa JF, wapi ntapata computers used kwa bei nzuri ya jumla. Kuanzia pieces 20 nahitaji.
 
Hereni, Cheni, Bangiri, chimbo liko wapi
 
Anayejua chimbo la mashati ya mitumba grade one bei na mahalii yanapatikana kwa urahisi na kwa bei nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…