Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Habari za muda wakuu,

Tunaomba wale wajuzi wa machimbo pale Kariakoo watupe mwongozo ili nasisi wafanyabiashara wadogo tupate pakuanzia maana madalali wamejaa sana sikuizi.

Machimbo kama viatu vyakike, mikoba, saa n. K
 
Anayejua Jimbo la shatiii za mitumba grade one Bei na mahalii zinapatikana. Kwa urahisi na kwa Bei cheee
Dar.. Maeneo ya Kariakoo:- maduka na godwon ya mitumba utapata mitaa ya Pemba,Narungombe,Lindi chini mnazi mmoja...
Bei nafuu.... Hongera kujituma!!
 
Nashukuru Sana Bei huwa zinaanzia shiling ngapii
 
Wajuzi wa soko la kiriakoo tunaombeni msahada vitu bei ya jumla unapataje maana pale kuna mduka mengi na mengine wananunua apo apo kariakoo then wanatuuzia sisi tusio jua machimbo
Vitu kama viatu ya kike, saa, mabegi n.k
 
Agiza Google pixel aina zote kuanzia pixel 2plain Mpaka pixel 5 storage ni 64GB na 128GB
Hii simu ni balaa kwa picha nzuri
nicheki 0713131366
 
Msaada
Natafuta chimbo la movie na series kwa bei poa niwe nauza mtaani kwa anaejua bei ya chini kwa huko kariakoo naomba anijuze..
Hii biashara niliifanya miaka ya 2015 sidhani kama soko lake Bado lipo badala yake now watu wanaweka kwenye flash na sio kununua CDs
Ukichunguza siku hizi soko la deki za DVD limekufa

Lakin ngoja waje

Nakumbuka enzi hizo nilikua nachukulia maeneo ya msimbzi kituo cha police kuna Sheri hizo flem baada ya Sheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…