Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa


Naomba msaada wa chimbo la kupata bidhaa za urembo hasa makeup kit
 
Naomba msaada wa chimbo la kupata bidhaa za urembo hasa makeup kit
Katikat ya mtaa wa Sikukuu na Mchikichi ulizia maduka ya ndani kabsa huko ndo kuna bidhaa zote kuanzia chen za India hadi za China wallets za kike na kiume, maduka ya miwani ya kusomea na urembo na makeup kit zote kuna wanaoleta za Dubai na China zote ni zilezile sema package zinatofautiana.
 
Msaada chimbo la wanako uza raba za kiume, madera, na mashati ya kiume
 

Ahsanteh sana dada na official shoes za kiume
 
Dada yangu naomba unitumie namba yako...kuna jambo linanitatiza utaweza kunisaidia.

Stay blessed.
 
Wapi kwa Kariakoo nitapata cheni origional kwa bei nzuri?

Msaada tafadhali.
 

Azarel
 
Dada please naomba namba yako tafadhali.
 
Kwa anaejua chimbo la vifaa vya computer kwa bei chee amwagike hapa; hawa wa maduka ya usoni wanatupiga sana
 
Hata mtaji sina nakula kwa mama nalala kwa bibi

Jiongeze kijana hata hawa madem wazuri hawapendi mtu asiye mpambanaji. [emoji16] Nawajua watu kibao wana elimu zao mpaka Masters huko....wanasafiri wananunua vitu wengine wana fungua magoli kkoo wanauza vitu (unakuta mtaji wa frame hana) after a while wanatoboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…