Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Kama ni Used vifaa vinapatikana karibu na stand ya mwendokasi gerezani..but kwa original ni mtaa wa msimbaz ukitokea fire...ila kwa hapa sijui chimbo lake exactly maana vifaa vya magari viko very complicated but kama ulikua ujui kabsa wanapouzia unaweza kucheki hayo maeneo niliyokutajia

Naomba msaada wa chimbo la kupata bidhaa za urembo hasa makeup kit
 
Naomba msaada wa chimbo la kupata bidhaa za urembo hasa makeup kit
Katikat ya mtaa wa Sikukuu na Mchikichi ulizia maduka ya ndani kabsa huko ndo kuna bidhaa zote kuanzia chen za India hadi za China wallets za kike na kiume, maduka ya miwani ya kusomea na urembo na makeup kit zote kuna wanaoleta za Dubai na China zote ni zilezile sema package zinatofautiana.
 
Katikat ya mtaa wa Sikukuu na Mchikichi ulizia maduka ya ndani kabsa huko ndo kuna bidhaa zote kuanzia chen za india hadi za china wallets za kike na kiume, maduka ya miwani ya kusomea na urembo na makeup kit zote kuna wanaoleta za Dubai na China zote ni zilezile sema package zinatofautiana.
Msaada chimbo la wanako uza raba za kiume, madera, na mashati ya kiume
 
Katikat ya mtaa wa sikukuu na mchikichi ulizia maduka ya ndani kabsa huko ndo kuna bidhaa zote kuanzia chen za india hadi za china wallets za kike na kiume,maduka ya miwani ya kusomea na urembo na makeup kit zote kuna wanaoleta za dubai na china zote ni zilezile sema package zinatofautiana.

Ahsanteh sana dada na official shoes za kiume
 
Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Dada yangu naomba unitumie namba yako...kuna jambo linanitatiza utaweza kunisaidia.

Stay blessed.
 
Wapi kwa Kariakoo nitapata cheni origional kwa bei nzuri?

Msaada tafadhali.
 
Katikat ya mtaa wa Sikukuu na mchikichi ulizia maduka ya ndani kabsa huko ndo kuna bidhaa zote kuanzia chen za India hadi za China wallets za kike na kiume, maduka ya miwani ya kusomea na urembo na makeup kit zote kuna wanaoleta za Dubai na China zote ni zilezile sema package zinatofautiana.

Azarel
 
Katikat ya mtaa wa sikukuu na mchikichi ulizia maduka ya ndani kabsa huko ndo kuna bidhaa zote kuanzia chen za india hadi za china wallets za kike na kiume,maduka ya miwani ya kusomea na urembo na makeup kit zote kuna wanaoleta za dubai na china zote ni zilezile sema package zinatofautiana.
Dada please naomba namba yako tafadhali.
 
Kwa anaejua chimbo la vifaa vya computer kwa bei chee amwagike hapa; hawa wa maduka ya usoni wanatupiga sana
 
Hata mtaji sina nakula kwa mama nalala kwa bibi

Jiongeze kijana hata hawa madem wazuri hawapendi mtu asiye mpambanaji. [emoji16] Nawajua watu kibao wana elimu zao mpaka Masters huko....wanasafiri wananunua vitu wengine wana fungua magoli kkoo wanauza vitu (unakuta mtaji wa frame hana) after a while wanatoboa.
 
Back
Top Bottom