Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnara wa saa hapo karibia na Stesheni.Wadau tuambien mabel ya mtumba original Dar tunapata wapi
Udalali Dar mkubwa una mtu mwaminifu anauza nzuri?Mnara wa saa hapo karibia na Stesheni
Pale kuna maduka yamepangana mizugo imejaa, unaingia dukani hakyna dalali, ukifika mnara wa saa kuwa kama unashuka kwenda Mnazi Mmoja kisha kata kushoto kwako barabara ya kwanza.Udalali dar mkubwa una mtu mwaminifu anauza nzuri?
Asante mdauPale kuna maduka yamepangana mizugo imejaa, unaingia dukani hakyna dalali, ukifika mnara wa saa kuwa kama unashuka kwenda Mnazi Mmoja kisha kata kushoto kwako barabara ya kwanza
Haya mkuu!Asante mdau
Kama ni Used vifaa vinapatikana karibu na stand ya mwendokasi gerezani..but kwa original ni mtaa wa msimbaz ukitokea fire...ila kwa hapa sijui chimbo lake exactly maana vifaa vya magari viko very complicated but kama ulikua ujui kabsa wanapouzia unaweza kucheki hayo maeneo niliyokutajia
Karume mle ndani kubali tu kuliwa hela na dalali maana wanajua aina za belo na quality.....Wadau tuambien mabel ya mtumba original dar tunapata wapi
Katikat ya mtaa wa Sikukuu na Mchikichi ulizia maduka ya ndani kabsa huko ndo kuna bidhaa zote kuanzia chen za India hadi za China wallets za kike na kiume, maduka ya miwani ya kusomea na urembo na makeup kit zote kuna wanaoleta za Dubai na China zote ni zilezile sema package zinatofautiana.Naomba msaada wa chimbo la kupata bidhaa za urembo hasa makeup kit
Msaada chimbo la wanako uza raba za kiume, madera, na mashati ya kiumeKatikat ya mtaa wa Sikukuu na Mchikichi ulizia maduka ya ndani kabsa huko ndo kuna bidhaa zote kuanzia chen za india hadi za china wallets za kike na kiume, maduka ya miwani ya kusomea na urembo na makeup kit zote kuna wanaoleta za Dubai na China zote ni zilezile sema package zinatofautiana.
Katikat ya mtaa wa sikukuu na mchikichi ulizia maduka ya ndani kabsa huko ndo kuna bidhaa zote kuanzia chen za india hadi za china wallets za kike na kiume,maduka ya miwani ya kusomea na urembo na makeup kit zote kuna wanaoleta za dubai na china zote ni zilezile sema package zinatofautiana.
Dada yangu naomba unitumie namba yako...kuna jambo linanitatiza utaweza kunisaidia.Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Katikat ya mtaa wa Sikukuu na mchikichi ulizia maduka ya ndani kabsa huko ndo kuna bidhaa zote kuanzia chen za India hadi za China wallets za kike na kiume, maduka ya miwani ya kusomea na urembo na makeup kit zote kuna wanaoleta za Dubai na China zote ni zilezile sema package zinatofautiana.
Dada please naomba namba yako tafadhali.Katikat ya mtaa wa sikukuu na mchikichi ulizia maduka ya ndani kabsa huko ndo kuna bidhaa zote kuanzia chen za india hadi za china wallets za kike na kiume,maduka ya miwani ya kusomea na urembo na makeup kit zote kuna wanaoleta za dubai na china zote ni zilezile sema package zinatofautiana.
Hata mtaji sina nakula kwa mama nalala kwa bibi