Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wadau vp kwema, naomba kujua wapi ntapata zile simple za kike sometimes utakuta pale mwenge wemepanga chini wanauza elfu mbili mbili au tatu tatu, inaonekana wao kwenye chimbo hua wananunua hadi Mia tano tano. Noambeni information kwa mtu anayejua shukran

Mkuu ulifanikiwa kupata?
 
nendeni mtaa wa congo na narung'ombe underground ya Tanzanite kule chini kuna mtaa mzima unaingia unatembea chini kwa chini kuna mat-shirts ya kufamtu, pita kwa sister mmoja ivi anaitwa judy

Shukrani
 
Nahitaji connection ya mikoba kutoka Kwa wachina karikoo Kwa wachina kabisa nhitaji Belo zima
 
Wadau vp kwema, naomba kujua wapi ntapata zile simple za kike sometimes utakuta pale mwenge wemepanga chini wanauza elfu mbili mbili au tatu tatu, inaonekana wao kwenye chimbo hua wananunua hadi Mia tano tano. Noambeni information kwa mtu anayejua shukran
Ulipata?
 
Mi kuna machinga nilikuwa nachukua mzigo kwake,hivyo nampa pesa ye anazunguka kwenda kuchukua mzigo.Ukimuuliza asemi, siku nilienda na vijana wangu watatu ambapo yeye hakuwaona. Hivyo nilivyomkabidhi pesa akaondoka, vijana wangu wakamfuatilia mpaka wakajua maduka yote aliyoingia. Tangia siku hiyo hajaniona na majamaa wa madukani washanizoea hata bila pesa wananipa mzigo au wanatuma mkoani.
Naomba namba ya hizo Duka za viatu please
 
anayejua chimbo la T shirt kali ambazo hazina mambo mengi
maduka mengi yanauza ma tshirt yenye machata chata mengi.

I mean zile T shirt Casual unavaa kokote A.K.A Za kiutu uzima and classic
 
Back
Top Bottom