Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

nendeni mtaa wa congo na narung'ombe underground ya Tanzanite kule chini kuna mtaa mzima unaingia unatembea chini kwa chini kuna mat-shirts ya kufamtu, pita kwa sister mmoja ivi anaitwa judy

Kuna zile tshirt za watoto plain kwaajili ya chekechea naweza pata huko
 
Chimbo la vifaa vya mazoezi vile wanavyouza wamachinga Balaban kariakoo bei ya jumla
 
Wakuu naomben kujuzw hili chimbo la raba na viatu lilipo, kule instagram wauzaj wanaopost hizi rubber na the same pictures ni wengi lakn kl naemuliza physical store iko wapi naambiw ni online na tunafanya delivery, kwa anaejua location ya hili duka naomba msaada tafadhal...shukrani
102c1af9f309485db4f01b132ca68173_313528855_1116823955637542_2875125704493266594_n.jpg
02b481ece0bf4f238d0b662a71e83325_313794214_622292792972236_2991929534116896044_n.jpg
a26322d2e22645d2950fd2cfe0a99439_313744228_866330524380657_9018967649016290009_n.jpg
 
Mtu anakwambia anauza online bado unakomaa akuonyeshe duka!?,unajua maana ya kuuza online kweli?
 
Naelewa, ndo mana na mim nimeulizia kwa anaefaham original store location, naogopa sana vitu vya kuuziw online..wengi wanaouza hizi rubber wanatumia same pictures na kl mmoja ana price yake, sasa mm nilikuw nataman kujua kama kuna physical store na muuzaji halisi mwenyew mwenye hizi picha.
 
Mtu anakwambia anauza online bado unakomaa akuonyeshe duka!?,unajua maana ya kuuza online kweli?
Achana naye hao ni aina ya watu wasumbufu tu sio wanunuaji,hata akionyeshwa hilo duka hatonunua ataenda kushikashika tu bidhaa kisha anakwambia"haya nashukuru nimeona,nikipata hela nitakuja"
 
Unajuaje hali yangu kiuchumi mkuu? Kuuliza sio ujinga.. Shukran.
 
Wakuu naomben kujuzw hili chimbo la raba na viatu lilipo, kule instagram wauzaj wanaopost hizi rubber na the same pictures ni wengi lakn kl naemuliza physical store iko wapi naambiw ni online na tunafanya delivery, kwa anaejua location ya hili duka naomba msaada tafadhal...shukraniView attachment 2405354View attachment 2405356View attachment 2405357
Ngoja nikusaidie ili usiendelee kusumbuka.
Iko hivi, hao watu hawawezi kukuonesha duka, kwa sababu wao wanachojifanya ni kwenda kwenye duka husika, na kupiga picha hizo raba na kuzitangaza... wakipata mteja,wanaenda kwenye duka kununua raba kwa bei ya hilo duka, kisha wanakuja kukuuzia wewe kwa bei yao.

Kwa nini picha zinafanana!??
Wapo wenye maduka wana hizo picha tayari, kwa hiyo wao wanachofanya ni kuzituma hizo picha kwa hawa wauzaji wa mtandaoni (Agents).

Kama nia ni kupata raba, mbona kuna maduka mengi sana ya hizo raba.. sema labda kama utaka kwa jumla ili na wewe ukauze.
 
Saw mkuu nimekuelew, na nashukuru kwa ufafanuzi mzuri, sihitaji kwa jumla nilikuw nataman kujua location ili niende binafsi kuzichukua na sio kufanyiwa delivery sababu nimeshapgwa sana eneo hili...so kam unafaham duka lolote linazouza hizi kwa quality hii hii naomba unisaidie mkubwa...much appreciated.
 
Mkuu wewe ni mgeni Dar!??
Maduka mbona yapo mengi sana.. Nenda Mwenge, Mlimani city, Posta...
 
Yes mimi sio mwenyeji sana wa dar, naishi pwani na nafanya biashara huku, so sifaham sana maduka ya vitu mara nyingi napendag kuangalia na kuvitafuta insta..
 
Back
Top Bottom