Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wadau, Naulizia Maduka ya jumla kwa vitambaa vya Masofa, yanapitakana wapi.?
 

Mkuu ulifanikiwa kupata?
 
nendeni mtaa wa congo na narung'ombe underground ya Tanzanite kule chini kuna mtaa mzima unaingia unatembea chini kwa chini kuna mat-shirts ya kufamtu, pita kwa sister mmoja ivi anaitwa judy

Shukrani
 
Nahitaji connection ya mikoba kutoka Kwa wachina karikoo Kwa wachina kabisa nhitaji Belo zima
 
Ulipata?
 
Naomba namba ya hizo Duka za viatu please
 
anayejua chimbo la T shirt kali ambazo hazina mambo mengi
maduka mengi yanauza ma tshirt yenye machata chata mengi.

I mean zile T shirt Casual unavaa kokote A.K.A Za kiutu uzima and classic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…