Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Naomba kufahamu chimbo la vifaa vya simu kwa bei chee yaan kule wanakochukua wale wanaotuuzia madukan kwa jumla pla kkoo
 
Jaman nataka kufanya biashara ya hardware mini shop ila chimbo la vitu bei poa sijui kwa kariakoo au popote pale ndani ya dar mfano bomba za ips ,fittings,na machepe nyundo sululu na vingine msaada jamn
Ukiwa Congo hapo Kama unenda mnazi mmoja mbele kulia sjui ndo mtaa wa Swahili yapo kibao Hadi kufika gerezani

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
sawa vingine ukitaka unasema tu nakuelekeza! ninavyovijua pia nitakua nakuongezea machimbo mapya maana supplier wengine wanafilisikaga hahaaahaa

Dada Shikamoo,nimekutumia ujumbe lakin haufanikiwi Natanguliza samahan Ila mahitaji msaada wako kama tunaeza wasiliana mana najua huku sio mda Asanteee
 
Dada Shikamoo,nimekutumia ujumbe lakin haufanikiwi Natanguliza samahan Ila mahitaji msaada wako kama tunaeza wasiliana mana najua huku sio mda Asanteee

IMG_1871.png

Inakua hivo dada
 
Kwema,Chimbo la spea za umeme wa magari na decoration wadau?
 
Kwa wanaohitaji sabuni za wadada zile za kuondoa chunusi,madoa,harara kwa jumla karibuni Sana
Ni TSH. 15000 kwa dazen
0769922210
 
Kwa wale waliopo mbali na kariakoo kama unahitaji mzigo wa Nguo za aina mbalimbali kama Jeans, Tshirt , Viatu na Sendo kutokana na umbali unashindwa kufika moja kwa moja kariakoo njoo PM nitakufungia na kukutumia kwa gharama nafuu kabisa
 
Naomba kufahamu machimbo wanapouza yale majora ya kushonea mashuka ya yale wanaita mashuka ya uganda ya 9x9 na Yale ya pakistani pia… na pia Majora(vitambaa) vya kushonea pazia zile quality ya kati na ta juu!
natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom