Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wakuu Naomba mnisaidie machimbo ya hizi Cheni na bracelets zinapopatikana kwa bei ya jumla jumla
IMG_6024.jpg

5E7A20C2-63F9-4FB6-A615-B1F4E1AA00FD.jpg

IMG_6064.jpg

IMG_6058.jpg
 
Me nataka machimbo ya
[emoji294]️ chupi za watoto na wanawake

[emoji294]️ sendos za kike / slippers

[emoji294]️ sendos za kimasai

[emoji294]️ hereni
chupi kuna zile za watu wa hali ya juu na za hali ya chini na kawaida mtaa wa muhonda. sandle za kimasai kuna zile maarufu za sapro masai mwenge na nyingine machinga complex. hereni na vifaa vya urembo mtaa wa tandamti
 
Shukrani sana….. samahani me ni wa mkoani mtaa wa tandamti ndo upo sehemu gan
 
vipodozi kuna vile high class, middle class(vina mchanganyiko wa high na midle) kuna vile vya watu wa chini...mikorogo, vya bei chee. wewe umelenga watu gani na wateja wako wakoje kiuchumi

Watu wengi huwa wanasema wanataka kuuza vipodozi ukimchapa hili swali anakimbia

Ni biashara nzuri naifanya muda sasa ila inahitaji ujue exactly unataka kufanya nini,
Yaani asikurupuke.
 
Hii ningependa kufahamu pia
china plaza ndo wanakouza hizi simu na jengo la infinix house underground kule. ukiwa na mtu zanzibar ungejichukulia kwa bei chee kidogo lkn ujiandae kukutana na na TRA. Kuwa makini nyingi zinasumbua, kwa haraka huwezi jua kwa kuiangalia lkn ukitumia baada ya muda fulani unaanza kugundua changamoto zake. Kama na ww unaenda kuuza uwe na simu nyingi ili ikirudishwa uweze fanya replacement.

Nunua kwa hawa jmaa wenye asili ya asia angalau wana mtaji mzuri hata kufanya replacement hawazingui....ngozi nyeusi wengi miyayusho. Mimi hununua na kuwatuamia wana kijijini zilirudi mbili na nikabadilishiwa bila shida
 
Shukrani mzee vipi kama nikibeba kama nimenunua ya kutumia binafsi simu 2 nazo nakutana na ushuru? kutoka zenji
 
Back
Top Bottom