Mgohamichael
Member
- Nov 23, 2021
- 5
- 2
Ni china tuNaomba kufahamu chimbo la vifaa vya simu kwa bei chee yaan kule wanakochukua wale wanaotuuzia madukan kwa jumla pla kkoo
Ukiwa Congo hapo Kama unenda mnazi mmoja mbele kulia sjui ndo mtaa wa Swahili yapo kibao Hadi kufika gerezaniJaman nataka kufanya biashara ya hardware mini shop ila chimbo la vitu bei poa sijui kwa kariakoo au popote pale ndani ya dar mfano bomba za ips ,fittings,na machepe nyundo sululu na vingine msaada jamn
sawa vingine ukitaka unasema tu nakuelekeza! ninavyovijua pia nitakua nakuongezea machimbo mapya maana supplier wengine wanafilisikaga hahaaahaa
Dada Shikamoo,nimekutumia ujumbe lakin haufanikiwi Natanguliza samahan Ila mahitaji msaada wako kama tunaeza wasiliana mana najua huku sio mda Asanteee
Ukiwa Congo hapo Kama unenda mnazi mmoja mbele kulia sjui ndo mtaa wa Swahili yapo kibao Hadi kufika gerezani
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
habari boss jamaa alikucheki?Naomba nipate contact zako tufanye biashara boss
0657904156
Una bidhaa hiyo tu ya sabuni?Kwa wanaohitaji sabuni za wadada zile za kuondoa chunusi,madoa,harara kwa jumla karibuni Sana
Ni TSH. 15000 kwa dazen
0769922210
hapo ujiandae kununua kwa cartonNaomba kufahamu chimbo la vifaa vya simu kwa bei chee yaan kule wanakochukua wale wanaotuuzia madukan kwa jumla pla kkoo
njoo nikupeleke mkuuMwenye mawasiliano na muuazaji wa vifaa vya pikipiki kwa kariakoo naomba.