Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Perfume Nzuri za kisasa kwa bei reja reja
Jambo!
Perfume, body spray, nzuri kwa bei poa kabisa yani bei elekezi bei ya Dubai, perfume za kisasa kwanini unukie changamoto wakati nina Perfume nzuri na za kila aina zitakazo kufanya unukie murua kabisa kwa mahitaji ya Perfume Body spray jumla na reja reja njoo Pm tufanye Biashara bei zangu ni rahisi mnooooo! mzigo upo wa kutosha.










 
bei zako zipoje,mf.una ile creed aventure ya chupa nyeusi?
 
Msaada nahitaji kufata bidhaa hizo kariakoo naomba machimbo au conection dar kariakoo wapi ntapata Kwa bei nzuri
sandal, yebo yebo, Slippers
nguo za ndani za kiume na wadada
nguo za watato wadogo chin ya miaka 7

Ulipata msaada na mimi unisaidie hapo
 
Habari Wadau Nashukuru Nimerudi mkoan salama Jana Mrejesho kwenye ununuzi wa bidhaa za yebo yebo Na slippers Zipo Mtaa wa Msinbazi kariakoo kuna Ndala, slippers,yebo yebo Za Kila Aina Bei za jumla nilizokutana nazo zipo za 2600,2800,3500,5500,6000 kuanzia pic's 6 Nami nimeondoka Na mzigo wa Kuanzia biashara pic's 107 nizizuungushe masokoni nteleta mrejesho Wakuu.
Pamoja mkuu,ikikupendeza unaweza ukaweka feedback hapa
 

Safi sana , kila hatua Dua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…