I and myself
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 328
- 324
Ingekuwa njema unge weka hapa hivyo vifaa vya simu na bei yake ya jumla ili iwe rahisi kwako na kwa mteja mwisho wa siku mtu afanye uamuziKwa wanafanya au wanaotaka kuanzisha biashara ya kuuza simu au vifaa vya simu,unaweza kunicheki kupata ili upate bidhaa hizo kwa bei ya jumla jumla
0787641107
kariakoo,
Mimi mwanafunzi unanishauri nini mbali na kusoma naweza kufanya biashara gani ya mtaji wa laki 5 hivi..MJINI HUMU KAZI ZIPO KIBAO KULALA NJAA NI KUJITAKIA
Nataka niwe dalali but mtandaoni unanitumia picha za simu WhatsApp na bei ambayo kwako ndio inahitajika nishawahi fanya na jamaa mmoja hivi hapo kkoo ni biashara nzuri kama utakuwa tayari nipm mkuu.Kwa wanafanya au wanaotaka kuanzisha biashara ya kuuza simu au vifaa vya simu,unaweza kunicheki kupata ili upate bidhaa hizo kwa bei ya jumla jumla
0787641107
kariakoo,
Ninataka glass protecter, cover, USB na chaji nope beiIngekuwa njema unge weka hapa hivyo vifaa vya simu na bei yake ya jumla ili iwe rahisi kwako na kwa mteja mwisho wa siku mtu afanye uamuzi
PALE KARIBU NA EXIM BANK?Pale kuna maduka yamepangana mizugo imejaa, unaingia dukani hakyna dalali...ukifika mnara wa saa kuwa kama unashuka kwenda mnazi mmoja kisha kata kushoto kwako barabara ya kwanza
YEYE PIA MBONA ANAULIZA BEINinataka glass protecter, cover, USB na chaji nope bei
Huwa nachukua kwa mchina mmoja pale agrey street karibu na Belinda au ofice za simba coach ana bei poa vitu poaBest ukipata muda niambie na mapochi yanapatikana wapi..Thanks
Boxer ingia upande wa kulia wa kituo cha Msimbazi B palePliiz msaada wa chimbo la sendoz na boxer shorts za kiume
NAENDA KK JION HII LAZIMA NIPITE ANAANZA KUUZA ANZIA PICES NGAPI?Huwa nachukua kwa mchina mmoja pale agrey street karibu na Belinda au ofice za simba coach ana bei poa vitu poa
NI KULE ZINAPOPAKI DALADALA ZA MAKUMBUSHO AU ZILE ZA MABIBO............Boxer ingia upande wa kulia wa kituo cha msimbazi B pale
Kuna maduka mengi ya nguo za ndani
Usichukue haya ya mbele ingia ndani utakutana na bei poa
Sendo ingia maduka ya wachina
Sijauliza sema mi huwa nachukua kuanzia kumiNAENDA KK JION HII LAZIMA NIPITE ANAANZA KUUZA ANZIA PICES NGAPI?
Boxer !?NI KULE ZINAPOPAKI DALADALA ZA MAKUMBUSHO AU ZILE ZA MABIBO............
OHOO TENA ISHU YENYEWE NI YA POCHI AHSANTESijauliza sema mi huwa nachukua kuanzia kumi
Vitu vya culture kuna maduka nilikumbana nayo siku nazurura kkoo ila ule mtaa sijui jina lake ni upande wa ilipo Abc hotelmwenye kujua machimbo ya kuuza shanga, vibao vya kutengenezea mikoba, wallet, kacha n.k. atuambie wanakwetu...
YAP ASANTE NISHAPASOMA PANAANGALIANA NA KITUO CHA MWENDOKASI KAMA SKOSEIBoxer !?
Hapana ni upande wa pili wa barabara kwenye maduka ya simu na vifaa vyake
Pia kuna sehemu nyingi za kubetia
Sasa unaingia ndani kidogo
Weka mrejesho sasa kama ulienda Uganda au ILIKUAJEAsante umenisaidia mnoo ila cna cha kukulipa
YesYAP ASANTE NISHAPASOMA PANAANGALIANA NA KITUO CHA MWENDOKASI KAMA SKOSEI
Naenda kuswampa baada ya kutoka kwenye kazi ya kanjibai ntapita japo nibebe dazan ya boxer niwaletee wafanyakazi wenzanguπ±π±π±π± waniungishe mieπ΅π΅π΅π΅π΅Yes
Huwa kuna msikiti pale.
Ijumaa njia inafungwa
Unatengeneza nini nduguMi nazitengeneza karibu