Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Kwa wanafanya au wanaotaka kuanzisha biashara ya kuuza simu au vifaa vya simu,unaweza kunicheki kupata ili upate bidhaa hizo kwa bei ya jumla jumla
0787641107
kariakoo,
Nataka niwe dalali but mtandaoni unanitumia picha za simu WhatsApp na bei ambayo kwako ndio inahitajika nishawahi fanya na jamaa mmoja hivi hapo kkoo ni biashara nzuri kama utakuwa tayari nipm mkuu.
 
Pale kuna maduka yamepangana mizugo imejaa, unaingia dukani hakyna dalali...ukifika mnara wa saa kuwa kama unashuka kwenda mnazi mmoja kisha kata kushoto kwako barabara ya kwanza
PALE KARIBU NA EXIM BANK?
 
Boxer ingia upande wa kulia wa kituo cha msimbazi B pale
Kuna maduka mengi ya nguo za ndani
Usichukue haya ya mbele ingia ndani utakutana na bei poa

Sendo ingia maduka ya wachina
NI KULE ZINAPOPAKI DALADALA ZA MAKUMBUSHO AU ZILE ZA MABIBO............
 
mwenye kujua machimbo ya kuuza shanga, vibao vya kutengenezea mikoba, wallet, kacha n.k. atuambie wanakwetu...
Vitu vya culture kuna maduka nilikumbana nayo siku nazurura kkoo ila ule mtaa sijui jina lake ni upande wa ilipo Abc hotel
 
Back
Top Bottom