Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Huu uzi ni zaidi ya faida, nimeupitia kwa uchache tu kesho nitaupitia vizuri kwenye computer ya mkoloni ili niufaidi vizuri....mbarikiwe wote mlioelekeza machimbo yalipo
 
Mkuu hii ulifanya ni intelligence ya hali ya juu sana.
 
Charity ahsante sana, majibu yako yametusaidia wengi, tutazama huko machimboni, tuanze mdogo mdogo hatimaye na sisi tuanze kwenda china, barikiwa sana, lkn pia mleta mada ubarikiwe tumejifunza mengi kupitia thread hii
 

Huko Nairobi nako mngetupa majina ya machimbo mngetusaidia zaidi sana
 
Dada samahn naomba namba yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…