Nanaa jolie
Senior Member
- Aug 9, 2017
- 145
- 356
Thanx natumai utayatumia in futureNimefaidika sana kwa Maelezo yako japo mtaji sina be blessed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanx natumai utayatumia in futureNimefaidika sana kwa Maelezo yako japo mtaji sina be blessed
Pale mnazi kuna daladala huwa zinapakiaAsante mkuu,nikifika mnazi mmoja nitayapata eneo gani?
Cc Trump tower
Naamini hata hao wenyeji wa Dar kama si wajanja kivile waishia kununua bidhaa kwenye maduka ya barabarani.
ukweli ni kwamba Kariakaa kuna machimbo ambayo hata wenye madox maeneo ya karibu huchukua na kuuza kwa bei ya juu.
Mfano kuna chimbo moja wanauza viatu vya kiume mfano Sebago pale wanauza Tsh 40,000 wakati huo ukipiga hatua mbili upande mwingine same sebago inauzwa 60 na maeneo ya pembezoni ni hadi 100K.
So ni kweli kuna haja ya wadau kujuzana machimbo.

Pale mnazi kuna daladala huwa zinapakia
Sasa usawa ule ukivuka barabara utakutana na maduka yana marobota ya nguo
Ingia lolote tu mface mhindi mwenyewe mwambie unahitaji ballo la nguo aina fulani atakupatia kama hana atakuelekeza duka lenye vitu unavyohitaji
Nimekuambia muhindi kwa sababu kuna vijana wa kibongo hapo wanafanya udalali.
Mkuu nipe kidogo maelezo ya hilo chimbo tafadhali.Naamini hata hao wenyeji wa Dar kama si wajanja kivile waishia kununua bidhaa kwenye maduka ya barabarani.
ukweli ni kwamba Kariakaa kuna machimbo ambayo hata wenye madox maeneo ya karibu huchukua na kuuza kwa bei ya juu.
Mfano kuna chimbo moja wanauza viatu vya kiume mfano Sebago pale wanauza Tsh 40,000 wakati huo ukipiga hatua mbili upande mwingine same sebago inauzwa 60 na maeneo ya pembezoni ni hadi 100K.
So ni kweli kuna haja ya wadau kujuzana machimbo.
Bina mlendamboga usinisahau katika ufalme wako ukipata hayo maelekezoNilengeshe hapo mahala nikabebe zigo binamu Twilumba
Mkuu! Unamiliki na vifaa vya simu, kama power bank, fast charger, betri, ?!?!..KWA WANAOHITAJI SIMU KWA BEI NAFUU YA JUMLA MIE NDO NINAMILIKI HILO CHIMBO KARIAKOO.
0625923853
Ballo linakua na nguo ngapi?450,000-500,000
Madalali wameshapata fursa kwa watu wa mikoani.Inawezekana wenyeji wako hawapajui hiyo machimbo.We sema unataka upelekwe? Ukihitaji nichek 0714306015 upelekwe
Vipi kaka umesharudiNahitaji hizi bidhaa bei ya jumla
Ningekusaidia mkuu ila mpaka next week ndo narudi mjini.
Kama utavumilia nikija nitakufanyia utaratibu.
Wanauzaje mkuu. Hasa boxer?Kwa chupi za kike na nguo za ndani kwa wanaume na wanawake na watoto, nenda mtaa wa shimoni, kuna duka moja linatazamana na msikiti wa jamatini, utafurahi.
Zinatofautiana bei ila nikuhakikishie tu hutajuta, ni quality toka uturuki.Wanauzaje mkuu. Hasa boxer?
Asante chiefZinatofautiana bei ila nikuhakikishie tu hutajuta, ni quality toka uturuki.
Mtaa Wa Aggrey na Congo ule woootee ndo masuala ya Simu na vitu kama hivyoWakikujibu nitag mkuu