Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Asante mkuu,nikifika mnazi mmoja nitayapata eneo gani?

Cc Trump tower
Pale mnazi kuna daladala huwa zinapakia
Sasa usawa ule ukivuka barabara utakutana na maduka yana marobota ya nguo

Ingia lolote tu mface mhindi mwenyewe mwambie unahitaji ballo la nguo aina fulani atakupatia kama hana atakuelekeza duka lenye vitu unavyohitaji

Nimekuambia muhindi kwa sababu kuna vijana wa kibongo hapo wanafanya udalali.
 
Nilengeshe hapo mahala nikabebe zigo binamu Twilumba
Naamini hata hao wenyeji wa Dar kama si wajanja kivile waishia kununua bidhaa kwenye maduka ya barabarani.

ukweli ni kwamba Kariakaa kuna machimbo ambayo hata wenye madox maeneo ya karibu huchukua na kuuza kwa bei ya juu.

Mfano kuna chimbo moja wanauza viatu vya kiume mfano Sebago pale wanauza Tsh 40,000 wakati huo ukipiga hatua mbili upande mwingine same sebago inauzwa 60 na maeneo ya pembezoni ni hadi 100K.

So ni kweli kuna haja ya wadau kujuzana machimbo.
 
Hilo chimbo la sebago liko wapi mkuu
 
Pale mnazi kuna daladala huwa zinapakia
Sasa usawa ule ukivuka barabara utakutana na maduka yana marobota ya nguo

Ingia lolote tu mface mhindi mwenyewe mwambie unahitaji ballo la nguo aina fulani atakupatia kama hana atakuelekeza duka lenye vitu unavyohitaji

Nimekuambia muhindi kwa sababu kuna vijana wa kibongo hapo wanafanya udalali.

Vipi za kupoint, zinapatikana wap?
 
Naamini hata hao wenyeji wa Dar kama si wajanja kivile waishia kununua bidhaa kwenye maduka ya barabarani.

ukweli ni kwamba Kariakaa kuna machimbo ambayo hata wenye madox maeneo ya karibu huchukua na kuuza kwa bei ya juu.

Mfano kuna chimbo moja wanauza viatu vya kiume mfano Sebago pale wanauza Tsh 40,000 wakati huo ukipiga hatua mbili upande mwingine same sebago inauzwa 60 na maeneo ya pembezoni ni hadi 100K.

So ni kweli kuna haja ya wadau kujuzana machimbo.
Mkuu nipe kidogo maelezo ya hilo chimbo tafadhali.
 
[QUOTE="charty, post: 24125788, member: 179294"Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah! [/QUOTE]
Ahsante sana! Huwa naenda Kariakoo nazungukaaa ila maduka ya jumla nguo bei kubwa kumbe wanafanya udalali
 
Inawezekana wenyeji wako hawapajui hiyo machimbo.We sema unataka upelekwe? Ukihitaji nichek 0714306015 upelekwe
Madalali wameshapata fursa kwa watu wa mikoani.
Ukimwelekeza bila kukutafuta wewe itakuwaje?
 
Kwa chupi za kike na nguo za ndani kwa wanaume na wanawake na watoto, nenda mtaa wa shimoni, kuna duka moja linatazamana na msikiti wa jamatini, utafurahi.
Wanauzaje mkuu. Hasa boxer?
 
Back
Top Bottom