Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Naomba kufaham wapi naweza pata viatu vizuri vya mtumba na bei wanauzaje kwa Balo.
 
Ingekuwa njema unge weka hapa hivyo vifaa vya simu na bei yake ya jumla ili iwe rahisi kwako na kwa mteja mwisho wa siku mtu afanye uamuzi
Mimi nimfanya biashara wa simu na vifaa vyake napatikana singida biashara zangu nafuata sehemu 3 dsm kariako, mwanza rwagasole, Nairobi luthuli hivyo ingependeza kama ungeweka bei yako ya jumla kwa kila unachouza na pia uelekeze ofisi yako iko kariako maeneo gani.
 
Nahitaji mbuzi wa Christmas na mwaka mpya utaniuzia bei gani?
 
Wow!!! [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
KUMBE WATU WENYE ROHO NZURI BADO WAPO? Ngoja niendelee kuishi
Ila mkuu ubarikiwe cheza ata biko shangaa umewabatua mzigo.
 
Mi natafuta chimbo la vijora vile wanavyomwaga Chini wanauza shs 6000.
 
Vile wanavyomwaga wamachinga kariakoo nyingi zinakuwa kama batiki ndio nazitaka nimepata mahali Kuna wateja Lakini sijui pa kuvipata ili na mimi niuze bei ya kariakoo
Yale madira ya elfu sita nenda Maeneo ya Kariakoo sokoni maduka ya ndani ndani bei yake Ndio hiyo Hiyo Ila mtaani yanauzwa mpaka 15000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…