Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,252
Uzi mrua kabisa huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimfanya biashara wa simu na vifaa vyake napatikana singida biashara zangu nafuata sehemu 3 dsm kariako, mwanza rwagasole, Nairobi luthuli hivyo ingependeza kama ungeweka bei yako ya jumla kwa kila unachouza na pia uelekeze ofisi yako iko kariako maeneo gani.Ingekuwa njema unge weka hapa hivyo vifaa vya simu na bei yake ya jumla ili iwe rahisi kwako na kwa mteja mwisho wa siku mtu afanye uamuzi
Nahitaji mbuzi wa Christmas na mwaka mpya utaniuzia bei gani?Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah! .
Wow!!! [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
KUMBE WATU WENYE ROHO NZURI BADO WAPO? Ngoja niendelee kuishiNgoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Mi natafuta chimbo la vijora vile wanavyomwaga Chini wanauza shs 6000.Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Sorry hivyo ubora wake ukoje? Havichuji coz nishazoea kuchukuaga Tanga vinavyotoka mbasaMi natafuta chimbo la vijora vile wanavyomwaga Chini wanauza shs 6000.
Hivyo pia nadhani vinatoka Mom basa ila havina mitandio.Sorry hivyo ubora wake ukoje? Havichuji coz nishazoea kuchukuaga Tanga vinavyotoka mbasa
Usije kuchanganya vijora na madera ya 6000 Mkuu Huwa vinafananaMi natafuta chimbo la vijora vile wanavyomwaga Chini wanauza shs 6000.
Viatu vya kike nnvyoKariakoo au Dar ni wapo tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla? Maana wenyeji wengi hawapendi kutupeleka kwenye machimbo
Tandika Mtaa wa Masoko kwa kina Chifu za Kauzu FCTandika mnadani kuanzia saa tatu asubuhi
Jumatatu mpaka jumamosi
Ilala alfajiri.
Vile wanavyomwaga wamachinga kariakoo nyingi zinakuwa kama batiki ndio nazitaka nimepata mahali kuna wateja lakini sijui pa kuvipata ili na mimi niuze bei ya Kariakoo.Usije kuchanganya vijora na madera ya 6000 Mkuu Huwa vinafanana
Yale madira ya elfu sita nenda Maeneo ya Kariakoo sokoni maduka ya ndani ndani bei yake Ndio hiyo Hiyo Ila mtaani yanauzwa mpaka 15000.Vile wanavyomwaga wamachinga kariakoo nyingi zinakuwa kama batiki ndio nazitaka nimepata mahali Kuna wateja Lakini sijui pa kuvipata ili na mimi niuze bei ya kariakoo