JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 476
Mbona hamji wazee shida nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu, naomba kufahamishwa namiKwa wanafanya au wanaotaka kuanzisha biashara ya kuuza simu au vifaa vya simu,unaweza kunicheki kupata ili upate bidhaa hizo kwa bei ya jumla jumla
0787641107
kariakoo,
Aiseeh! Pc maana yake kimojaVisandles vya 2500 pic vinakua vingap mkuu xamahn lakn
Mtumba kama nguo ni ilala boma na mwenge..viatu na nguo za watoto karume..uwe tu muamkaji mzuri wa kuanzia saa 10 alfajr hadi saa 4 asubuhiNasubiri maeneo ya nguo zote za mtumba na mazaga zaga yoteeeee
Mkuu Mwenge mbona unampoteza mwenzio? Mwenge huwa wanachukua ilala bomaMtumba kama nguo ni ilala boma na mwenge..viatu na nguo za watoto karume..uwe tu muamkaji mzuri wa kuanzia saa 10 alfajr hadi saa 4 asubuhi
Kwa nguo za kiume na kike kuna chimbo za kariakoo..maduka ya chini kabisa..wanauza kwa jumla na viatu pia utapata..kuhusu viatu vya watoto sijui kwakweliKaribuni ndugu zanguni,tupeane mbinu za kupata mzigo wa jumla kwa bei nafuu hapo kariakoo na kuonesha bei ya jumla binafsi nina mpango wa kuuza kwa mnada wa kutembeza kwa gari vitu kama vitenge,nguo za kiume,za kike,za watoto jinsia zote,viatu aina zote yebo yebo za watoto vingine nitaviacha dukani.
Tushauriane jinsi ya kupata mzigo nafuu nimejaribu kufika soko la manzese nimekuta viatu vya mtoto yebo nzuri kabisa sh 1000 wakati kariakoo 3500 sasa nimekuja mahali hapa nipate kujua za kupata mzigo mzuri kwa ujumla
Ahsante kwa kutoa muda wako
USHAURI;Tujitahidi kuwafata wateja mahali walipo kutatua shida zao wao watupe pesa
UKIPENDA PESA JUA NA KUZITAFUTA
Mwenge wanafungua mbona..alhamisi na j4 za kike unapata ..nina uhakika na nilichokiandikaMkuu Mwenge mbona unampoteza mwenzio? Mwenge huwa wanachukua ilala boma
Ila boma ndio sanaMkuu Mwenge mbona unampoteza mwenzio? Mwenge huwa wanachukua ilala boma
nakumbuka ilikua saa 9 ushafika karume sisi mapointer tukiita Highbury unapoint viatu unapeleka ubaoniMtumba kama nguo ni ilala boma na mwenge..viatu na nguo za watoto karume..uwe tu muamkaji mzuri wa kuanzia saa 10 alfajr hadi saa 4 asubuhi
Nguo wanachukua ilalaMwenge wanafungua mbona..alhamisi na j4 za kike unapata ..nina uhakika na nilichokiandika
UmeelewekaNguo wanachukua ilala
Thank youMtumba kama nguo ni ilala boma na mwenge..viatu na nguo za watoto karume..uwe tu muamkaji mzuri wa kuanzia saa 10 alfajr hadi saa 4 asubuhi