Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Vyuma vimekaza mpaka griss inagoma kumwagikaaa
 
Kwa wanafanya au wanaotaka kuanzisha biashara ya kuuza simu au vifaa vya simu,unaweza kunicheki kupata ili upate bidhaa hizo kwa bei ya jumla jumla
0787641107
kariakoo,
Asante mkuu, naomba kufahamishwa nami
 
Kuna uzi unaongelea nguo za kike kama sikosei ilitoa machimbo mengi sana.... May be uwe specific zaidi wadau watakuja.... au mtu atuwekee link ya ule uzi pia ili kuwe na option nyingi...
Asante....
 
Nasubiri maeneo ya nguo zote za mtumba na mazaga zaga yoteeeee
Mtumba kama nguo ni ilala boma na mwenge..viatu na nguo za watoto karume..uwe tu muamkaji mzuri wa kuanzia saa 10 alfajr hadi saa 4 asubuhi
 
Mtumba kama nguo ni ilala boma na mwenge..viatu na nguo za watoto karume..uwe tu muamkaji mzuri wa kuanzia saa 10 alfajr hadi saa 4 asubuhi
Mkuu Mwenge mbona unampoteza mwenzio? Mwenge huwa wanachukua ilala boma
 
Kwa nguo za kiume na kike kuna chimbo za kariakoo..maduka ya chini kabisa..wanauza kwa jumla na viatu pia utapata..kuhusu viatu vya watoto sijui kwakweli
 
Mtumba kama nguo ni ilala boma na mwenge..viatu na nguo za watoto karume..uwe tu muamkaji mzuri wa kuanzia saa 10 alfajr hadi saa 4 asubuhi
nakumbuka ilikua saa 9 ushafika karume sisi mapointer tukiita Highbury unapoint viatu unapeleka ubaoni
 
machimbo pia ya nguo za dukan mtuelekeze jmn
 
Kariakoo ipo mkoa gani? Na huko mikoani ndio wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…