Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wakuu,
Wapi lilipo chimbo LA bei chee kwa CD za season,action kwa bei ya jumla zilizotafsiriwa.

Natanguliza shukran
Nenda Aggrey na likoma karibu na china plaza.. Jirani na bank ya akiba kuna maduka kama yote tu yanayo uza cd na dvd zilizo tafsiriwa na wana uza kuanzia 1000 ila ukichukua nyingi bei ina shuka ukishindwa niPM.
 
I WILL CAUSE KWELI LINANITENDEA HAKI NIMEJIFUNZA MENGI SASA NIMEJUA BIASHARA MPAKA ZA UMACHINGA ............. WA SHANGA ZA KIUNONI HAHAHA JINSI YA KULIPA AIRCARGO NA MAJINI NIMEUZA MIKOA KARIBU YOTE TANZANIA KENYA NA NCHI NYINGINE ZA JIRANI NI UKIAMKA ASUBUHI UNA BIASHARA IWE GARI UBUYU TV IN AND OUT UNATANDAZA MAPICHA UBAONI UNAKULA VICHWA NASHAURI WATZ HIZI GROUP ZA WHATS TUZITUMIE KWA MANUFAA UTAKUTA GROUP MNATUMIANA MAPICHAPICA MNAJISELFIE NA BLABLA WOYYYY MIMI NI KINARA WA KUUZA INSTAGRAM FB SIPOST KITU KINGINE ZAID YA BIDHAA NA NINAUZA IN AND OUTSIDE TANZANIA JUST LIKE THAT SIASA NAFANYA JF ONLY MAANA HUKU HAKUNA MIKONOO YA CHUMA
Namie naomba unifanyie wepesi dadaangu kuunganishwa ktk grup hilo
 
Uzi huu unq mafunzo mengi kwa Wafanyabiashara

1. Hawaweki bidhaa mitandaoni hasa Tz bado wafanyabiashara wakubwa wamejifungia na hawauzi hadharani ila base ya wa chuuzi ndio sasa inatumia mitandao

2. Humu wengi wanauliza maswali lakini watoa majibu ni walewale (wengi bado wanaficha taarifa).

Sasa mie hata zimeulizwa sehemu nyingi nazifahamu ila sasa uelekezaji ndio unanipaga shida, kuelekeza mitaa ya dar ni ngumu sana japo nimeishi hapa miaka mingi. Ila ukinibeba nikupeleke ni dakika tu.

UZURI: VITU VINGI VINAVYOFANANA HUKAA PAMOJA.

SASA NISHAURI NJIA YA KUEPUKA KUPIGWA BEI BIDHAA. KAMA UNATAKA AINA FLAN YA BIDHAA

Kwa mfano: simple(kiatu) flan, nenda kakomae na machinga bei ukiona bei yao ya mwisho anataka kukuuxia lets say 6000/= mwingine hivyo hivyo, jua iko kitu bei ya jumla ni chini ya hio anayouza machinga.

Yan ni hv kwa mfano zile raba midosho wanauzaga elf 10 tu na haipungui. Jua jumla kwa mchina wanauziwa elf 6 au 7
 
Wakuu,
Chimbo LA vifaa vya solar systems.

Naomba kufahamishwa.

Natanguliza shukrani
 
Nenda Aggrey na Likoma karibu na china plaza.. Jirani na bank ya akiba kuna maduka kama yote tu yanayo uza cd na dvd zilizo tafsiriwa na wana uza kuanzia 1000 ila ukichukua nyingi bei ina shuka ukishindwa ni pm
Ubarikiwe sana mkuu.
 
Uzi huu unq mafunzo mengi kwa Wafanyabiashara
1. Hawaweki bidhaa mitandaoni hasa Tz bado wafanyabiashara wakubwa wamejifungia na hawauzi hadharani ila base ya wa chuuzi ndio sasa inatumia mitandao

2. Humu wengi wanauliza maswali lakini watoa majibu ni walewale (wengi bado wanaficha taarifa).

Sasa mie hata zimeulizwa sehemu nyingi nazifahamu ila sasa uelekezaji ndio unanipaga shida, kuelekeza mitaa ya dar ni ngumu sana japo nimeishi hapa miaka mingi. Ila ukinibeba nikupeleke ni dakika tu.

UZURI: VITU VINGI VINAVYOFANANA HUKAA PAMOJA.

SASA NISHAURI NJIA YA KUEPUKA KUPIGWA BEI BIDHAA. KAMA UNATAKA AINA FLAN YA BIDHAA

Kwa mfano: simple(kiatu) flan, nenda kakomae na machinga bei ukiona bei yao ya mwisho anataka kukuuxia lets say 6000/= mwingine hivyo hivyo, jua iko kitu bei ya jumla ni chini ya hio anayouza machinga.

Yan ni hv kwa mfano zile raba midosho wanauzaga elf 10 tu na haipungui. Jua jumla kwa mchina wanauziwa elf 6 au 7
Skuhizi dunia imebadilika.

Mitaa yote ya kariakoo na ofisi zake ziko live mubashara kabisa katika "GOOGLE MAPS"

Haina haja ya kuumiza kichwani sana kuelekeza mitaa.

Screen shot ile picha ya eneo/ramani kwenye Google map
 
Tafadhali kwa anae fahamu mikeka ya tecco au zari inakouzwa jumla kwa bei nafuu.
 
Huu uzi umeenda vizuri hadi raha tuendelee kusaidiana tu kuelekezana inapendeza zaidi,samahani niliochelewa kujibu quote zenu!tatizo sikuhizi sipati notifications za jf!!![emoji52]
Mi naomba chimbo la yeboyebo bei nzuri ya jumla. Siku moja nilienda pale manzese bei xipo juu.

Regards.
 
Saafi sana kwa Uzi huu na kwa wale ambao watakuwa wanajua chimbo na wakaombwa kutoa direction au wao wenyewe kwenda na mhitaji basi wasisite maana huyo anayetaka anatoa feedback ambayo itakuwa fursa kwako na kujulikana maana kibiashara sio kazi nyepesi kuzunguka na mtu kwa mda wake,so watu wa Dar wa jf tunaomba ushirikiano.pia kuna bidhaa mizigo ya Moshi nayo mtwambie nyie mlioko uko.alafu kuna mizigo inayotoka Uganda -kupitia boda mtukula nayo mtwambie mnaochukua uko. Maana izo ndo taarifa muhimu kwani kinachotukwamisha wengi ni Information ingawa unakuta mitaji IPO. Asanteni na tuwe na ushirikiano mwema.
 
Hahaaaaa!!!!! La kutoka unyanwezin
Huwezi kupata huko kwanza atanunua nani wakati watu washazoea copy....Alafu mnunuzi ukimwambie American boot $120 atabakia kulalamika tu hawajui uimara wao wanataka kuvaa tu mchinamchina

Ova
 
Huwezi kupata huko kwanza atanunua nani wakati watu washazoea copy....Alafu mnunuzi ukimwambie American boot $120 atabakia kulalamika tu hawajui uimara wao wanataka kuvaa tu mchinamchina

Ova
O. G zinapatikana wapi
 
Msaada kwa wenye uzoefu na vitu vya Stationary wanisaidie.Maana nmezoea kununua maduka ya mwanzoni mwa mtaa wa Kongo.
Kuna huo mtaa wa sikukuuu ingia nai ukitokea uhuru rd utakutana na maduka ya wachina bei ni nzuri. ...
Kuna wengine wana vitu vizuri mnoo wako hapo kisutu sokoni ukiingia mpaka pale walipoweka vitabu wanauza kuna geti kubwaaa ingia humo ndani ya hizi flats utskuta bei nzuri mnoo na vitu quality
 
Kwa kwel huu ni uzi endelevu sichoki kuusoma najifunza mengi na umensaidia kiasi flani, ahsante mtoa uzi na wachangiaji.
 
Naomba kuuliza maduka ya bei rahisi ya phone accessories kariakoo plz[emoji18]
 
Back
Top Bottom