I and myself
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 328
- 324
Nenda Aggrey na likoma karibu na china plaza.. Jirani na bank ya akiba kuna maduka kama yote tu yanayo uza cd na dvd zilizo tafsiriwa na wana uza kuanzia 1000 ila ukichukua nyingi bei ina shuka ukishindwa niPM.Wakuu,
Wapi lilipo chimbo LA bei chee kwa CD za season,action kwa bei ya jumla zilizotafsiriwa.
Natanguliza shukran
Namie naomba unifanyie wepesi dadaangu kuunganishwa ktk grup hiloI WILL CAUSE KWELI LINANITENDEA HAKI NIMEJIFUNZA MENGI SASA NIMEJUA BIASHARA MPAKA ZA UMACHINGA ............. WA SHANGA ZA KIUNONI HAHAHA JINSI YA KULIPA AIRCARGO NA MAJINI NIMEUZA MIKOA KARIBU YOTE TANZANIA KENYA NA NCHI NYINGINE ZA JIRANI NI UKIAMKA ASUBUHI UNA BIASHARA IWE GARI UBUYU TV IN AND OUT UNATANDAZA MAPICHA UBAONI UNAKULA VICHWA NASHAURI WATZ HIZI GROUP ZA WHATS TUZITUMIE KWA MANUFAA UTAKUTA GROUP MNATUMIANA MAPICHAPICA MNAJISELFIE NA BLABLA WOYYYY MIMI NI KINARA WA KUUZA INSTAGRAM FB SIPOST KITU KINGINE ZAID YA BIDHAA NA NINAUZA IN AND OUTSIDE TANZANIA JUST LIKE THAT SIASA NAFANYA JF ONLY MAANA HUKU HAKUNA MIKONOO YA CHUMA
Manzese sehemu ganii..Vitambaa vya kushona kwa k.koo vipo kwa Osama.Ila naweza kukushaur ukanunulie manzese kwani wana bei rahisi sana kuliko k.koo.
Ubarikiwe sana mkuu.Nenda Aggrey na Likoma karibu na china plaza.. Jirani na bank ya akiba kuna maduka kama yote tu yanayo uza cd na dvd zilizo tafsiriwa na wana uza kuanzia 1000 ila ukichukua nyingi bei ina shuka ukishindwa ni pm
Skuhizi dunia imebadilika.Uzi huu unq mafunzo mengi kwa Wafanyabiashara
1. Hawaweki bidhaa mitandaoni hasa Tz bado wafanyabiashara wakubwa wamejifungia na hawauzi hadharani ila base ya wa chuuzi ndio sasa inatumia mitandao
2. Humu wengi wanauliza maswali lakini watoa majibu ni walewale (wengi bado wanaficha taarifa).
Sasa mie hata zimeulizwa sehemu nyingi nazifahamu ila sasa uelekezaji ndio unanipaga shida, kuelekeza mitaa ya dar ni ngumu sana japo nimeishi hapa miaka mingi. Ila ukinibeba nikupeleke ni dakika tu.
UZURI: VITU VINGI VINAVYOFANANA HUKAA PAMOJA.
SASA NISHAURI NJIA YA KUEPUKA KUPIGWA BEI BIDHAA. KAMA UNATAKA AINA FLAN YA BIDHAA
Kwa mfano: simple(kiatu) flan, nenda kakomae na machinga bei ukiona bei yao ya mwisho anataka kukuuxia lets say 6000/= mwingine hivyo hivyo, jua iko kitu bei ya jumla ni chini ya hio anayouza machinga.
Yan ni hv kwa mfano zile raba midosho wanauzaga elf 10 tu na haipungui. Jua jumla kwa mchina wanauziwa elf 6 au 7
Huu uzi umefika hapa kutokana na uwazi wa watu.... Mambo yote yamewekwa hapa...huko pm kuna nn!Check PM
Sema unachohitaji usaidiweHuu uzi umefika hapa kutokana na uwazi wa watu.... Mambo yote yamewekwa hapa...huko pm kuna nn!
Mi naomba chimbo la yeboyebo bei nzuri ya jumla. Siku moja nilienda pale manzese bei xipo juu.Huu uzi umeenda vizuri hadi raha tuendelee kusaidiana tu kuelekezana inapendeza zaidi,samahani niliochelewa kujibu quote zenu!tatizo sikuhizi sipati notifications za jf!!![emoji52]
Nahitaji chimbo la kofia chepe na viatu American bootSema unachohitaji usaidiwe
American boot la mchina mchina au la kutoka unyamwezini kwenyewe mzee wa BrooklynNahitaji chimbo la kofia chepe na viatu American boot
Hahaaaaa!!!!! La kutoka unyanwezinAmerican boot la mchina mchina au la kutoka unyamwezini kwenyewe mzee wa Brooklyn
Ova
Huwezi kupata huko kwanza atanunua nani wakati watu washazoea copy....Alafu mnunuzi ukimwambie American boot $120 atabakia kulalamika tu hawajui uimara wao wanataka kuvaa tu mchinamchinaHahaaaaa!!!!! La kutoka unyanwezin
O. G zinapatikana wapiHuwezi kupata huko kwanza atanunua nani wakati watu washazoea copy....Alafu mnunuzi ukimwambie American boot $120 atabakia kulalamika tu hawajui uimara wao wanataka kuvaa tu mchinamchina
Ova
Kuna huo mtaa wa sikukuuu ingia nai ukitokea uhuru rd utakutana na maduka ya wachina bei ni nzuri. ...Msaada kwa wenye uzoefu na vitu vya Stationary wanisaidie.Maana nmezoea kununua maduka ya mwanzoni mwa mtaa wa Kongo.