Agripina baraka fifi
Member
- Aug 6, 2018
- 16
- 13
Cjakuelew mzee China gan apoTafta hela uende china. Kuna masoko yao kule vitu bei cheap kweli. Kuna vijana walianza kdgo kdgo tu this day wanafanya vizuri kweli. Just know ur niche.
Vitu vingine in china the prices are lower kuliko hata hapo Kariakoo.
2500tsh mkuuMkuu hivi boxer za wanaume zinauzwa shilingi ngapi kwa bei ya jumla
Wewe muhuni kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi kuna machinga nilikuwa nachukua mzigo kwake,hivyo nampa pesa ye anazunguka kwenda kuchukua mzigo.Ukimuuliza asemi,siku nilienda na vijana wangu watatu ambapo yeye hakuwaona.Hivyo nilivyomkabidhi pesa akaondoka,vijana wangu wakamfuatilia mpaka wakajua maduka yote aliyoingia.Tangia siku hiyo hajaniona na majamaa wa madukani washanizoea hats bila pesa wananipa mzigo au wanatuma mkoani.
Nishakuchukua namba ntakuchek ili nikuoneshe machimbo mbali mbali.Nitumie whatsapp kwwnye no 0782202544
Ni add na mm bosiok ngoja nikutaftie link nakuinbox
Shukrani sana mkuu2500tsh mkuu
niadd na mimi mkuu 0656784020Nishakuchukua namba ntakuchek ili nikuoneshe machimbo mbali mbali.
Ahsante mkuuMachimbo ya china hupelekwi bure mkuu kuna wabongo kibao ndo hizo kazi zao na wanaishi kwa njia hiyo ila utakapozidi kuwa mzoefu naamini nawewe utayajua mfano jamaa anaitwa Cliff mitindo huyu ni winger wa china mcheck insta na ndo anaishi kwa kazi hiyo ila jaribu pia kutafuta wenye uzoefu na huko jenga nar ukaribu utapata mengi.
Hahahahaha kama ulijua vile,,,mimi nishaanza kitambo kutazama post zake za nyuma zilkuwa vipi.Kwa vile umeshaweka contact zako jilinde sana na watu wasiojulikana maana wataanza kucheki post zako za nyuma[emoji1] [emoji1]
Kama upo dar panga siku nikupeleke chimbo zingine ngumu kuelekezeka mpaka upelekwe.Nauliza wapi nitapata bidhaa za kutengeneza sabuni za maji na kipande kwa bei ya jumla.
Umeshapata shea butter? Karibu ninayo kwa jumla na rejarejaKama upo dar panga siku nikupeleke chimbo zingine ngumu kuelekezeka mpaka upelekwe
Mkuu hilo chimbo muhimu nitakutafutaKama upo dar panga siku nikupeleke chimbo zingine ngumu kuelekezeka mpaka upelekwe
Nami naomba please.ngoja niombe ridhaa kwa admin lakini group yenyewe ni ya watu wa kimataif so mambo ya kupost upumbaf hayakubaliwi ni business only usidhani ni group la vigodoro na pia kama una biashara yako unapost unauza localy............
Nami naomba hilo chomboKama upo dar panga siku nikupeleke chimbo zingine ngumu kuelekezeka mpaka upelekwe