Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Mi kuna machinga nilikuwa nachukua mzigo kwake,hivyo nampa pesa ye anazunguka kwenda kuchukua mzigo.Ukimuuliza asemi,siku nilienda na vijana wangu watatu ambapo yeye hakuwaona.Hivyo nilivyomkabidhi pesa akaondoka,vijana wangu wakamfuatilia mpaka wakajua maduka yote aliyoingia.Tangia siku hiyo hajaniona na majamaa wa madukani washanizoea hats bila pesa wananipa mzigo au wanatuma mkoani.
Wewe muhuni kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa jumla au za kuvaa wewe tu?
Kama jumla nenda m/mmoja, kuna maduka ya mitumba ya mabelo.

Km rejareja nenda karume na ilala
 
Machimbo ya china hupelekwi bure mkuu kuna wabongo kibao ndo hizo kazi zao na wanaishi kwa njia hiyo ila utakapozidi kuwa mzoefu naamini nawewe utayajua mfano jamaa anaitwa Cliff mitindo huyu ni winger wa china mcheck insta na ndo anaishi kwa kazi hiyo ila jaribu pia kutafuta wenye uzoefu na huko jenga nar ukaribu utapata mengi.
Ahsante mkuu
 
Kwa vile umeshaweka contact zako jilinde sana na watu wasiojulikana maana wataanza kucheki post zako za nyuma[emoji1] [emoji1]
Hahahahaha kama ulijua vile,,,mimi nishaanza kitambo kutazama post zake za nyuma zilkuwa vipi.
 
Muanzisha uzi Mungu akubariki.
Mi naomba kuelekezwa wapi nitapata jersey original kwa bei rafiki ya jumla.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
ngoja niombe ridhaa kwa admin lakini group yenyewe ni ya watu wa kimataif so mambo ya kupost upumbaf hayakubaliwi ni business only usidhani ni group la vigodoro na pia kama una biashara yako unapost unauza localy............
Nami naomba please.
 
Back
Top Bottom