Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mji gani boss!!Tafta hela uende china. Kuna masoko yao kule vitu bei cheap kweli. Kuna vijana walianza kdgo kdgo tu this day wanafanya vizuri kweli. Just know ur niche.
Vitu vingine in China the prices are lower kuliko hata hapo Kariakoo.
Ni pm mkuu nikupe mawili matatu!problems solved[emoji23] [emoji23]Naomba kujua chimbo la spare parts na accessories za smartphone
Noted madam nitakutafutasawa vingine ukitaka unasema tu nakuelekeza! ninavyovijua pia nitakua nakuongezea machimbo mapya maana supplier wengine wanafilisikaga hahaaahaa
Imagine wenzako wote wasingeweka hapa wakawa na wao wanasema tuende pm.Ni pm mkuu nikupe mawili matatu!problems solved[emoji23] [emoji23]
Mi sina hali yoyote ninayo pambana nayo. ila sijapenda tabia ya kuwahadaa watu. mnatia aibuPambana na hali yako mkuu![emoji23] [emoji23] hajalazimishwa mtu kwenda PM na PM imewekwa ili itumiwe
Upo mkuuChimbo la mashati classic wakuu
Ni wapi nilipohadaa watu!?mi sina hali yoyote ninayo pambana nayo. ila sijapenda tabia ya kuwahadaa watu. mnatia aibu
Nipo mkuu,.Upo mkuu
Jamani naomba uniunge na mimi nataka kuanza kuuza cheni za english gold toka congo naimani nitapata mwongozo wa nitaupata vipi mzigongoja niombe ridhaa kwa admin lakini group yenyewe ni ya watu wa kimataif so mambo ya kupost upumbaf hayakubaliwi ni business only usidhani ni group la vigodoro na pia kama una biashara yako unapost unauza localy............
Funguka hapa hapa mkuu! Lengo la Uzi huu ni kuwafungua wote ambao tumekua ktk jitihada hizi za ujasiriamali, sasa ukienda pm haitakuwa na tija , funguka hapa hapa!Ni pm mkuu nikupe mawili matatu!problems solved[emoji23] [emoji23]
Na zinapatikana wapi kwa Wachina. I mean maeneo ganiUzi huu unq mafunzo mengi kwa Wafanyabiashara
1. Hawaweki bidhaa mitandaoni hasa Tz bado wafanyabiashara wakubwa wamejifungia na hawauzi hadharani ila base ya wa chuuzi ndio sasa inatumia mitandao
2. Humu wengi wanauliza maswali lakini watoa majibu ni walewale (wengi bado wanaficha taarifa).
Sasa mie hata zimeulizwa sehemu nyingi nazifahamu ila sasa uelekezaji ndio unanipaga shida, kuelekeza mitaa ya dar ni ngumu sana japo nimeishi hapa miaka mingi. Ila ukinibeba nikupeleke ni dakika tu.
UZURI: VITU VINGI VINAVYOFANANA HUKAA PAMOJA.
SASA NISHAURI NJIA YA KUEPUKA KUPIGWA BEI BIDHAA. KAMA UNATAKA AINA FLAN YA BIDHAA
Kwa mfano: simple(kiatu) flan, nenda kakomae na machinga bei ukiona bei yao ya mwisho anataka kukuuxia lets say 6000/= mwingine hivyo hivyo, jua iko kitu bei ya jumla ni chini ya hio anayouza machinga.
Yan ni hv kwa mfano zile raba midosho wanauzaga elf 10 tu na haipungui. Jua jumla kwa mchina wanauziwa elf 6 au 7
Bado sijapata msaada hapaNaomba kujua chimbo la spare parts na accessories za smartphone
Mtaa wa uhuruBado sijapata msaada hapa
Zip maduka kadhaa yamepangana wanaita mtaa wa gerezani nashindwa kutoa ramani sahihi ila physical napafahamu.Kuwa specific mkuu,ni mwenyewe natafuta soap base na sijui kama kuna duka linauza hizo vitu hii nchi