Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Ni pm mkuu nikupe mawili matatu!problems solved[emoji23] [emoji23]
Imagine wenzako wote wasingeweka hapa wakawa na wao wanasema tuende pm.

Mtu akikuita PM maana yake anataka akufanyie biashara hana chimbo lolote analojua.

Nashauri kama wewe ni wakuita watu PM uwape information huu uzi si kwa ajili yako. sepaaaaaaa

Huwezi kumwaga hapa kausha, nenda katangaze biashara yako uzi mwingine
 
ngoja niombe ridhaa kwa admin lakini group yenyewe ni ya watu wa kimataif so mambo ya kupost upumbaf hayakubaliwi ni business only usidhani ni group la vigodoro na pia kama una biashara yako unapost unauza localy............
Jamani naomba uniunge na mimi nataka kuanza kuuza cheni za english gold toka congo naimani nitapata mwongozo wa nitaupata vipi mzigo
 
Uzi huu unq mafunzo mengi kwa Wafanyabiashara
1. Hawaweki bidhaa mitandaoni hasa Tz bado wafanyabiashara wakubwa wamejifungia na hawauzi hadharani ila base ya wa chuuzi ndio sasa inatumia mitandao

2. Humu wengi wanauliza maswali lakini watoa majibu ni walewale (wengi bado wanaficha taarifa).

Sasa mie hata zimeulizwa sehemu nyingi nazifahamu ila sasa uelekezaji ndio unanipaga shida, kuelekeza mitaa ya dar ni ngumu sana japo nimeishi hapa miaka mingi. Ila ukinibeba nikupeleke ni dakika tu.

UZURI: VITU VINGI VINAVYOFANANA HUKAA PAMOJA.

SASA NISHAURI NJIA YA KUEPUKA KUPIGWA BEI BIDHAA. KAMA UNATAKA AINA FLAN YA BIDHAA

Kwa mfano: simple(kiatu) flan, nenda kakomae na machinga bei ukiona bei yao ya mwisho anataka kukuuxia lets say 6000/= mwingine hivyo hivyo, jua iko kitu bei ya jumla ni chini ya hio anayouza machinga.

Yan ni hv kwa mfano zile raba midosho wanauzaga elf 10 tu na haipungui. Jua jumla kwa mchina wanauziwa elf 6 au 7
Na zinapatikana wapi kwa Wachina. I mean maeneo gani
 
Kuwa specific mkuu,ni mwenyewe natafuta soap base na sijui kama kuna duka linauza hizo vitu hii nchi
Zip maduka kadhaa yamepangana wanaita mtaa wa gerezani nashindwa kutoa ramani sahihi ila physical napafahamu.
 
Wakuu vifaa vya hardware nitapata wap kwa dar bei cheap....
 
Back
Top Bottom