Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Haunipati ng'oooo ukinifata tu nakupoteza kama Mo vileMkuu bado uko comoro na Yasmin?
Mie ni jini Harish nna shida na wewe
Haunipati ng'oooo ukinifata tu nakupoteza kama Mo vile
Nitag namieTayari mkuu zote 3.
Kuna moja naitafuta ndio inaeleza bei, jinsi ya kusafirisha, sehemu za kufikia, na kila kitu.
Nikiupata nitakutag pia huko
Nakuja mkuu nisamehe nilikuwa bize sanaMkuu umeniacha kweny mataa huko pm
Bongo Dar es salam[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sio ukamdalalie sasa
Shea butter inapatikana west africa (Ghana) na East africa (Uganda) kule ndo inapatikana shea trees ambapo kutokea hapo ndo tunapata Shea nuts and then shea butter so wengi wanaouza hapa Tz huwa wanaagiza huko bei ya jumla kwa Ghana ni 10usd per kg na kwa Uganda nilichukua kwa 450,000ugx kwa ndoo ya ltr 20 (hapa gharama inaweza kutofautiana inategemea na supplier wako)napendelea kuchukua Uganda coz gharama ya usafir sio kubwa haizidi 30k halafu Shea butter ya ug ni laini sana tofauti na ya Ghana ingawa zote zina faida ileile kwa ngozi.kusafirisha kutoka Ghana lazima utumie dhl bei zao kubwa sana,lakin kutokea ug huwa natumia bus (friends) napata mzigo wangu bila usumbufu.Ukipata wanapo uza hizo shea butter nijuze mumy, huku mtaani tunagongwa bei hatari, ukiuliza wanapo nununa hawasemi.
Asante sana so nikipata mtu wa Uganda anaweza niunganishia?Shea butter inapatikana west africa (Ghana) na East africa (Uganda) kule ndo inapatikana shea trees ambapo kutokea hapo ndo tunapata Shea nuts and then shea butter so wengi wanaouza hapa Tz huwa wanaagiza huko bei ya jumla kwa Ghana ni 10usd per kg na kwa Uganda nilichukua kwa 450,000ugx kwa ndoo ya ltr 20 (hapa gharama inaweza kutofautiana inategemea na supplier wako)napendelea kuchukua Uganda coz gharama ya usafir sio kubwa haizidi 30k halafu Shea butter ya ug ni laini sana tofauti na ya Ghana ingawa zote zina faida ileile kwa ngozi.kusafirisha kutoka Ghana lazima utumie dhl bei zao kubwa sana,lakin kutokea ug huwa natumia bus (friends) napata mzigo wangu bila usumbufu.
Kuna uzi upo hapa kitambo tu.
Ngoja nikuletee
Ni uzi wa Kipilipili
Nenda utauona
Nakungoja kakaNakuja mkuu nisamehe nilikuwa bize sana
Poa Mkuu.Asante Madame
Kinondoni Studio pale kwenye zile yard za magari.
Nenda Kariakoo mtaa wa Accrey, ingia na ule mtaa kulia, kisha tazama maduka ya kushoto baada ya kumaliza yale maduka yandani ya simu simu kuna ghorofa inayofuata kuna maduka ya hivo vitu unavyovitaka.Machimbo ya flash GB 1, 2, 8 na 16 wapi na kwa bei ya jumla?