Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Ntapata wap guitar used lisilotumia umeme (acoustic) ambalo lipo kwenye hali nzuri lisilo zidi 70k
yWTTfgF8-HSKXYzMH48a7nM3h8311qet5APDT6HjaiDZSS9SIKWIFZGbYMIVvgExugUOuE7_kA15-UZ0ostSJKz5Wuqqm...jpeg
 
Ukipata wanapo uza hizo shea butter nijuze mumy, huku mtaani tunagongwa bei hatari, ukiuliza wanapo nununa hawasemi.
Shea butter inapatikana west africa (Ghana) na East africa (Uganda) kule ndo inapatikana shea trees ambapo kutokea hapo ndo tunapata Shea nuts and then shea butter so wengi wanaouza hapa Tz huwa wanaagiza huko bei ya jumla kwa Ghana ni 10usd per kg na kwa Uganda nilichukua kwa 450,000ugx kwa ndoo ya ltr 20 (hapa gharama inaweza kutofautiana inategemea na supplier wako)napendelea kuchukua Uganda coz gharama ya usafir sio kubwa haizidi 30k halafu Shea butter ya ug ni laini sana tofauti na ya Ghana ingawa zote zina faida ileile kwa ngozi.kusafirisha kutoka Ghana lazima utumie dhl bei zao kubwa sana,lakin kutokea ug huwa natumia bus (friends) napata mzigo wangu bila usumbufu.
 
Laptops nzuri zilizotumika naweza zipata wapi wakuu? Kwa hapo Dar
 
Asante sana so nikipata mtu wa Uganda anaweza niunganishia?
 
Machimbo ya flash GB 1, 2, 8 na 16 wapi na kwa bei ya jumla?
Nenda Kariakoo mtaa wa Accrey, ingia na ule mtaa kulia, kisha tazama maduka ya kushoto baada ya kumaliza yale maduka yandani ya simu simu kuna ghorofa inayofuata kuna maduka ya hivo vitu unavyovitaka.
Yako kwa nje tu na yamepangana.
Fika pale utapata
 
Back
Top Bottom