Ricecooker
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 500
- 904
Njaa kakaa!ukiamua unaweza kutenga week nzima unadamkia kariakoo.Unazungukia maduka,ukichoka unaenda kunywa kahawa huku ukipiga story na wadau.Ukitaka bidhaa za kiislamu nenda msikiti wa kwa mtoro ambapo utakutana hadi maduka ya miwani.Weye ni nomaa Mkuu ulitumia akili ya kuzaliwa kicomandoo commando.
Machinga Complex, KarumeNaomba kujua mahali ambapo wanatengeneza Viatu vya kimasai na kuuzwa kwa bei poa kwa dar
Naomba kujua mahali ambapo wanatengeneza Viatu vya kimasai na kuuzwa kwa bei poa kwa dar
Naomba kujua mahali ambapo wanatengeneza Viatu vya kimasai na kuuzwa kwa bei poa kwa dar
Jumla minimum ni pisi ngapi?Nauza mabegi ya lap top na shule kama PANASO,BIOAWANG,,, kuanzia elfu 16,000 jumla na reja reja 18,000 tupo k.koo mtaa wa kipata na swahili.
Nenda kawasuport wale walemavu pale Machinga Complex
Wana bei reasonable
+255742706225Wakuu naomba mnielekeze chimbo ambalo naweza kupata karatasi aina zifuatazo :-
1.News print.
2.News print za rangi.
3.Non Carbon paper (NCR).
Natanguliza shukurani.
Vipi hiyo kampuni imeshaanza?UKITAKA UFANIKIWE HAPA NI NYIE KUNUNUA KWA HELA YENU HAKUNA MTU ATAWATUMIA HELA
Sijui takuwa nmetoka nje ya mada lakin npo karkoo bado ...nilkuwa nauliza wafanya biashara wa mikoan mkfka karkoo hotel ya bei ndogo + usalama kwa karkoo na ata ikiwa nje kdogo lakin around Kariakoo !