Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Weye ni nomaa Mkuu ulitumia akili ya kuzaliwa kicomandoo commando.
Njaa kakaa!ukiamua unaweza kutenga week nzima unadamkia kariakoo.Unazungukia maduka,ukichoka unaenda kunywa kahawa huku ukipiga story na wadau.Ukitaka bidhaa za kiislamu nenda msikiti wa kwa mtoro ambapo utakutana hadi maduka ya miwani.
 
Kuna jamaa anatengeneza poa Sana ni Ras,anatengeneza quality kbs ila bei zake ndio kidogo tafrani na soko la uswahili I kidogo gumu Ila kama una vichwa vyako vya kishua unaweza uza hta 30 maana vinakua poa sana
Naomba kujua mahali ambapo wanatengeneza Viatu vya kimasai na kuuzwa kwa bei poa kwa dar
 
Nauza mabegi ya lap top na shule kama PANASO, BIOAWANG kuanzia elfu 16,000 jumla na reja reja 18,000 tupo Kariakoo mtaa wa Kipata na Swahili.
 
Wakuu, habari zenu naomba kuuliza je ni wapi nitapata digital thermostat control pamoja na ile kile kifaa cha kupima unyevu. Mkinijulisha na bei zake itakua vizuri sana
 
Wakuu naomba mnielekeze chimbo ambalo naweza kupata karatasi aina zifuatazo :-
1.News print.
2.News print za rangi.
3.Non Carbon paper (NCR).

Natanguliza shukurani.
 
Wakuu naomba mnielekeze chimbo ambalo naweza kupata karatasi aina zifuatazo :-
1.News print.
2.News print za rangi.
3.Non Carbon paper (NCR).

Natanguliza shukurani.
+255742706225
 
Sijui takuwa nmetoka nje ya mada lakin npo karkoo bado ...nilkuwa nauliza wafanya biashara wa mikoan mkfka karkoo hotel ya bei ndogo + usalama kwa karkoo na ata ikiwa nje kdogo lakin around karkoo !
 
Nenda pale Magomeni Mikumi Kuna NEIBA HOTEL bei rahisi alfu 15 tu halafu ghorofani usalama tele
Sijui takuwa nmetoka nje ya mada lakin npo karkoo bado ...nilkuwa nauliza wafanya biashara wa mikoan mkfka karkoo hotel ya bei ndogo + usalama kwa karkoo na ata ikiwa nje kdogo lakin around Kariakoo !
 
Bussines as usual, wazee kuna maswali ya baadh ya bidhaa hayajajibiwa na ninataman sana maana nina uhtaj

1. Viatu vya mtumba vya ofsin (moka) grade A

2. Mashati Mapya kbsa ya ofisini na suruali za vitambaa vyote viwe classic

3.Yale makaratasi ya wallpapers za ukutani(mimi hapa nataka ya kupambia/kuvutia biashara za hotel/cafe n.k, yanakua yanapicha za kuvutia za matunda mbali mbali, juices, vitafunwa mfn sandwich, keki na sambusa pia chakulaa) yanakua ya kung'aa ng'aa hv, jitahidi tu unielewe.
 
Back
Top Bottom