Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Kongozi mimi napatikana Muleba Mjini, Kagera. Nataka kufungua duka la kuuza vitu vifuatavyo, viatu vya kike, nguo za jinsia zote, nguo za ndani, vifaa vya urembo. Naomba kujua sehemu ambayo naweza kua napata hii bidhaa kwa garama ya kawaida.
 
Heri ya 2019, wadau!

Team SolutionTumekua msaada kwa wengi: K-KOO, DAR, N.K. ingawa kupitia Uzi huu, Kiongozi, NAOMBA kuwajuza wadau bado kufahamu huduma ZETU muhimu

* Kusajili kampuni
* Hesabu za Kodi, Hesabu za Kampuni,
*Kuandaa Memorandum....
* Kuandika Business Plan, Business Profile,
* Kuandaa Tender documents, CRB
*Kutengeneza LOGO, Business Cards, Brochures, Banners
* Printing - All types of Books
*Digital Printing: T-SHIRTS, CAPS, BAGS, PLATES, CUPS, etc.
TUPIGIE/ MESEJI - 0684 205039: WATSUP TU 0652 411402
 
Sawa vingine ukitaka unasema tu nakuelekeza! ninavyovijua pia nitakua nakuongezea machimbo mapya maana supplier wengine wanafilisikaga hahaaahaa
Mkuu yaani nimekuelewa sana watu wengi hawapendi wenzako wafanikiwe kabisa hata ikibidi wakufilisi kabisa ila ukifanya biashara na mtu mweusi ufanikiwe utakuwa umetumia gharama kubwa asante kwa uwepo wako hapa, naomba unipe chimbo la nguo za watoto kuanzia 0-10 years.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kongoz mm napatikana Muleba Mjini_Kagera, Nataka kufungua duka la kuuza vitu vifuatavyo, viatu vya kike, nguo za jinsia zote, nguo za ndani, vifaa vya urembo. Naomba kujua sehemu ambayo naweza kua napata hii bidhaa kwa garama ya kawaida

Ukipitia comments utapata maelezo
 
Mashuka haya ya kawaida ya kutandikia kitanda na kujifunika yasiyochuja rangi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ok zamani nilikuwa nachukua Karume sokoni
Kuna shuka fulani walikuwa wanauza 18,000 kwa muda sijapita huko

Kwa sasa nachukua za Uganda bei yake ni 70,0000-75,000

Ya mtumba yapo Tandika yanauzwa kwa njia ya mnada ama ya kupangwa yapo

Kariakoo kwa wachina,Mtaa wa aggrey na nyamwezi
 

Maduka ya boxer nayajua Ila nashindwa kuelekeza
 
samahani mkuu hivi mashuka ya uganda unayafuata huko au kuna mtu anakuchukulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari,

1) Nataka kufungua duka la kuuza aluminium na vifaa vyake, naomba kujua chimbo la uhakika la kupata mzigo wa jumla kwa bei yenye manufaa
2) Naomba kujua duka linalouza roler kwa ajiri ya POS au risiti za EFD.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…