Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Kimya dada ulifanikisha kuna chimbo jipya hilo ndo hatari aseee,Dorcus kama zote beii chee tu teh na zenyewe zile na zile cardet quality bei nzuri sana.
Nilienda zile cardet siwezi kuziweka dukani
Pale ni wazee wa chambuu wanaelewa mzigo wa maana.
 
Unataka ukamuelezee wapi, elekeza hapa hapa na wengine tufaidike
Unapokuwa unahitaji msaada jaribu kuwa unatumia unyenyekevu au wewe mgeni katika huu uzi pitia juu huko uone kama sijaelekeza au lah.
 
Ni kweli kabisa, mm nimeahauliza watu kibao lakin hawasem unaishia kula block
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Mimi nauliza chimbo la pochi nzuri za mtumba...kwa bei ya jumla.
 
Mungu akubariki, leo nimepita hizo chocho ni kweree in rchuga voice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee umefikia wapi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia mzigo wa ukubwa ndo unatuma na Bei ya kusafirisha ikoje?
Vipi kuhusu TRA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu anazo dizain hz ??me naztk hz kwa jumla yn kun mtu anabei kubwa sn jumla 35000View attachment 1014004View attachment 1014005

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaa wa congo maghorofa ya juu.. Kwa urahisi mtafte insta anaitwa @kwa_alphonce_handbags... Anazo pu nzuri na susen og kwa bei nzur

Hizo nai mtaa wa congo zipo nyingi.. Pia kuna mtu insta anaitwa @bei_chee1 anauza 25000.. Kkoo yupo maduka ya underground ule mtaa karibu na shimoni..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa vifaa vya pikipiki za Kichina pamoja na mapambo waone Waziri spares na Toronto Motorcycle Spares waliopo Kariakoo mtaa wa Swahili na Mafia.

Namba zao za simu ni 0769 480 844 (Waziri) na 0652 662 688 (Jumanne)

Hautajuta, unapata vitu vyote utakavyo kwa bei kama ya China.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukijibiwa ni tag mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa vifaa vya pikipiki za kichina pamoja na mapambo waone Waziri spares na Toronto Motorcycle Spares waliopo Kariakoo mtaa wa Swahili na Mafia.

Namba zao za simu ni 0769 480 844 (Waziri) na 0652 662 688 (Jumanne)

Hautajuta, unapata vitu vyote utakavyo kwa bei kama ya China.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndg, naomba mnijulishe wapi naweza kupata vifaa vya pikipiki kwa bei nafuu ya jumla nataka kufungua duka la vifaa vya pikipiki.
Asante sana
Mkuu kwa vifaa vya pikipiki za kichina pamoja na mapambo waone Waziri spares na Toronto Motorcycle Spares waliopo Kariakoo mtaa wa Swahili na Mafia.

Namba zao za simu ni 0769 480 844 (Waziri) na 0652 662 688 (Jumanne)

Hautajuta, unapata vitu vyote utakavyo kwa bei kama ya China.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi ni mtam sana. Ngoja nichukue machimbo makali ili nijiongeze\
 
Suruali za kadeti ambazo mtaani tunauziwa sh35000 huwa zinauzwa wapi kwa bei ya jumla?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna waliofanya biashara na huu mwamba humu ndani?

Testimonies please..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…