Sawa boss Lini unaenda k/koo maana si rahisi kwa maelekezo hapa ukaelewa mkuu.
Jaribu kuelezea hadi utakapoishia kuelezea.
Jf hakishindikani kitu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa boss Lini unaenda k/koo maana si rahisi kwa maelekezo hapa ukaelewa mkuu.
Nilienda zile cardet siwezi kuziweka dukaniKimya dada ulifanikisha kuna chimbo jipya hilo ndo hatari aseee,Dorcus kama zote beii chee tu teh na zenyewe zile na zile cardet quality bei nzuri sana.
Unataka ukamuelezee wapi, elekeza hapa hapa na wengine tufaidikeSawa
Sawa boss Lini unaenda k/koo maana si rahisi kwa maelekezo hapa ukaelewa mkuu.
Unapokuwa unahitaji msaada jaribu kuwa unatumia unyenyekevu au wewe mgeni katika huu uzi pitia juu huko uone kama sijaelekeza au lah.Unataka ukamuelezee wapi, elekeza hapa hapa na wengine tufaidike
Haaaa!!kifaa cha 3000 dukani yeye anatuuzia 6000.ilikuwa akipiga simu mbona hatuonekani tunamwambia tumefulia,hivyo hata hao wanaoenda China in hivyo hivyo mpaka uje kugundua supplier wa bei rahisi ni shida.Kama vipi kawaulize wale wanaomwaga Madela kwa bei rahisi kama watafunguka?
Mungu akubariki, leo nimepita hizo chocho ni kweree in rchuga voiceMachimbo ya kiume yapo mtaa wa Congo na mchikichi..na aggrey but unatakiwa uingie kule ndani kabisa wanaita underground sio huku njenje pia Congo na narung'ombe kwa ndani kabisa underground utajionea maajabu ya viatu na pamba za ukweli..usiangalie maduka ya nje nje tu.Tena zipo nguo quality mwenyewe tu ushindwe kuchagua
Yanapatikana kule mitaa ya gerezani yanapakana na maduka ya dawa za binadam..nadhani ni gerezani na nyamwezi kama sijakosea mitaa vizur ukifika maeneo ya gerezan ukimuuliza mtu anakuonyesha
Yapo mchikichi ya likoma karibia na Akiba Bank branch ya K.koo yaani memory card bei che na headphone nenda kajionee
Yapo mtaa mmoja unaitwa Muhonda upande wa pili wa msimbazi.kule wanauza kila aina ya chupi ronya na quality bei zao zipo vizuri wanauza boxer soks hata hiz skintight tunazouziwa buku kumi moja zinauzwa kule kwa dz bei nzuri.
Pia mtaa wa mchikichi nao kuna wachina na wazawa wanaouza kwa bei ya jumla kwa quantity kubwa.
Aisee umefikia wapi mkuuUzi madini sana huu.
Jamani nami naombeni mawazo yenu wandugu...
Nimepata mkopo wa Tsh Milioni MOJA kamili. Ni mkopo usio na riba. Nimepewa MIEZI MITATU niwe nimerejesha yote.
Nipeni ushauri ndugu zangu. Nifanye biz gani ya kukimbiza chap chap? any ideas please. Kwa sasa nipo Dar, ila ni kijana ambaye nipo tayari kuingia kokote penye fursa ya biashara kwa mtaji huo. Nipeni mawazo wapendwa, maisha yamenichapa mno ndugu zangu, sasa naukataa umasikini kwa nguvu zote!
CC: charty , Danhappy , na wachangiaji wengine wote. Natanguliza shukrani
Kuanzia mzigo wa ukubwa ndo unatuma na Bei ya kusafirisha ikoje?Mimi ni natuma mizigo from Guangzhou na nguo za ndani za watoto hadi wakubwa ninatuma kwa mabelo!!!
BELO linakuwa na 100-200 dozens
1200-1500 pieces za chupi au boxers
Bei inakuwa nzuri ukijumua kwa mabelo!!!
If interested please contact me WhatsApp +8618857052304
Check my Instagram page @panda_sourcing
Mtaa wa congo maghorofa ya juu.. Kwa urahisi mtafte insta anaitwa @kwa_alphonce_handbags... Anazo pu nzuri na susen og kwa bei nzurMkuu anazo dizain hz ??me naztk hz kwa jumla yn kun mtu anabei kubwa sn jumla 35000View attachment 1014004View attachment 1014005
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa vifaa vya pikipiki za kichina pamoja na mapambo waone Waziri spares na Toronto Motorcycle Spares waliopo Kariakoo mtaa wa Swahili na Mafia.
Mkuu kwa vifaa vya pikipiki za kichina pamoja na mapambo waone Waziri spares na Toronto Motorcycle Spares waliopo Kariakoo mtaa wa Swahili na Mafia.Habari ndg, naomba mnijulishe wapi naweza kupata vifaa vya pikipiki kwa bei nafuu ya jumla nataka kufungua duka la vifaa vya pikipiki.
Asante sana
Suruali za kadeti ambazo mtaani tunauziwa sh35000 huwa zinauzwa wapi kwa bei ya jumla?Mtaa wa congo maghorofa ya juu.. Kwa urahisi mtafte insta anaitwa @kwa_alphonce_handbags... Anazo pu nzuri na susen og kwa bei nzur
Hizo nai mtaa wa congo zipo nyingi.. Pia kuna mtu insta anaitwa @bei_chee1 anauza 25000.. Kkoo yupo maduka ya underground ule mtaa karibu na shimoni..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna waliofanya biashara na huu mwamba humu ndani?Mimi ni natuma mizigo from Guangzhou na nguo za ndani za watoto hadi wakubwa ninatuma kwa mabelo!!!
BELO linakuwa na 100-200 dozens
1200-1500 pieces za chupi au boxers
Bei inakuwa nzuri ukijumua kwa mabelo!!!
If interested please contact me WhatsApp +8618857052304
Check my Instagram page @panda_sourcing