Vijora vya jumla napata mtaa gani kkoo msaadaChukua kijora kizito halafu kam ungekuwa unavifata mombasa kidog bei ipo chini kule maan ndipo vitokako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio mgeni naona, wenzio wote wametuelekeza machimbo hapa hapa, hakuna anaesema njoo PM, unyenyekevu gani uliotaka niutumie zaidi ya kukuomba utoe maelekezo hapaUnapokuwa unahitaji msaada jaribu kuwa unatumia unyenyekevu au wewe mgeni katika huu uzi pitia juu huko uone kama sijaelekeza au lah.
Me maduka siyajui nawajua tu wauzaji na page zao insta..Suruali za kadeti ambazo mtaani tunauziwa sh35000 huwa zinauzwa wapi kwa bei ya jumla?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anauza kadet zile zinazovutika 18000 jumla.. Ambazo mtaani ni 28000 kupanda juu..Me maduka siyajui nawajua tu wauzaji na page zao insta..
Mashati mazuri na kadeti mtafte @cocosmarty insta
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumla ni kuanzia 'pisi' ngapi..!?Huyu anauza kadet zile zinazovutika 18000 jumla.. Ambazo mtaani ni 28000 kupanda juu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Dar sidhan na hata kama vipo bei zao zipo juu kwenye unafuu ni tanga my dear au huko mombasa maan wengi wanaagiza huko kwa Dar ni ghali.
Tshirt kwa Bei ya Jumla kuanzia 16-18 kutokana na Aina ya Tshirt
Mashati bei ya Jumla 18
Pensi bei ya Jumla 18
Pull over bei ya Jumla 18
Cadet bei ya Jumla 18
Pia Ninauza kwa bei ya Reja Reja
Nimeweka bei za kiwango cha kawaida kabisa!
Elae!
CEO
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumla zinaanzia PC 5 Duka lipo pale Capetown underground... Ukinitext or ukinicheki kwa hii number 0759 20 20 25 tutakupigia na kukuelekeza maana hatujaandika majina...Jumla zinakuwa ngapi sasa hizo kadeti
Unauza kuanzia ngapi hizo kadeti
Kariakoo. mtaa WA Congo duka lako Limeandikwa jina gani Mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumla unaanzia piece ngap??Ninauza Kadeti Kwa bei ya Jumla 18,000/=
Kadeti zinazovutika
Ukiitaji Ngumu pia zipo
Duka Langu lipo Mtaa wa Kongo & Aggrey
Watsupp Number 0759 20 20 25
Insta natumia:Elae_clothing_stores
Pia Pensi kali, Mashati, na Tshirts nk ninazo.
Kukiwa na Swali Lolote waweza kunicheki hata DM
Elae
CEO!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumla ni kuanzia PC 5 kwa Elfu 18,000 Boss...ukichukua mzigo mkubwaa kuanzia PC 20 nakupunguzia pazuri as mteja kwetu ni mfalme piah
Jumla ni Elfu 18 boss kuanzia PC 5 ila ukichukua mzigo mkubwaa unapunguziwa piah