Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Unapokuwa unahitaji msaada jaribu kuwa unatumia unyenyekevu au wewe mgeni katika huu uzi pitia juu huko uone kama sijaelekeza au lah.
Wewe ndio mgeni naona, wenzio wote wametuelekeza machimbo hapa hapa, hakuna anaesema njoo PM, unyenyekevu gani uliotaka niutumie zaidi ya kukuomba utoe maelekezo hapa
 
Sample za mzigo wake hizo boss kaz kwako...
IMG-20190319-WA0126.jpeg
IMG-20190319-WA0120.jpeg
IMG-20190319-WA0130.jpeg
IMG-20190319-WA0125.jpeg
IMG-20190319-WA0013.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninauza Kadeti Kwa bei ya Jumla 18,000/=
Kadeti zinazovutika
Ukiitaji Ngumu pia zipo
Duka Langu lipo Mtaa wa Kongo & Aggrey
Watsupp Number 0759 20 20 25
Insta natumia:Elae_clothing_stores
Pia Pensi kali, Mashati, na Tshirts nk ninazo.

Kukiwa na Swali Lolote waweza kunicheki hata DM
Elae
CEO!

Tshirt kwa Bei ya Jumla kuanzia 16-18 kutokana na Aina ya Tshirt
Mashati bei ya Jumla 18
Pensi bei ya Jumla 18
Pull over bei ya Jumla 18
Cadet bei ya Jumla 18
Pia Ninauza kwa bei ya Reja Reja
Nimeweka bei za kiwango cha kawaida kabisa!
Elae!
CEO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumla zinakuwa ngapi sasa hizo kadeti
Unauza kuanzia ngapi hizo kadeti
Kariakoo. mtaa WA Congo duka lako Limeandikwa jina gani Mkuu?

Jumla zinaanzia PC 5 Duka lipo pale Capetown underground... Ukinitext or ukinicheki kwa hii number 0759 20 20 25 tutakupigia na kukuelekeza maana hatujaandika majina...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninauza Kadeti Kwa bei ya Jumla 18,000/=
Kadeti zinazovutika
Ukiitaji Ngumu pia zipo
Duka Langu lipo Mtaa wa Kongo & Aggrey
Watsupp Number 0759 20 20 25
Insta natumia:Elae_clothing_stores
Pia Pensi kali, Mashati, na Tshirts nk ninazo.

Kukiwa na Swali Lolote waweza kunicheki hata DM
Elae
CEO!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jumla unaanzia piece ngap??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom