Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Nenda Posta Mpya pale round about ya Askari ulizia duka linaitwa Babla...

Hapo si saa tu, hata marekebisho pia wanafanya kwa saa original lakini, marekebisho ya saa za copy sidhani kama wanafanya
 
Okay
Nenda Posta Mpya pale round about ya Askari ulizia duka linaitwa Babla...

Hapo si saa tu, hata marekebisho pia wanafanya kwa saa original lakini, marekebisho ya saa za copy sidhani kama wanafanya
Asante sana khy wana saa quality
 
Mtaa wa aggrey kkoo yamejaa kama yote ni ww tu kulingalisha ipi nafuu zaidi kwako
 
Wakuu Kwa anaejua chimbo Kariakoo lilipo la mahitaji ya saloon ya kucha, rangi za kucha na vifaa vyake, naomba msaada

 
Nimeenda kariakooo daaah mpk mwenyewe nimefurahi.nimekuta maviatu kama yoteeeee
mkuu hebu tusaidie na sie tunaotaka kuanza biashara,,,vp bei zake kwa jumla zipo vzr??,,,na je machimbo wadau walioleza hapo juu yapo sawa?,,i mean yana bidhaa hizo kwa jumla?
 
Sawa vingine ukitaka unasema tu nakuelekeza! ninavyovijua pia nitakua nakuongezea machimbo mapya maana supplier wengine wanafilisikaga hahaaahaa
nisaidie na mie please, nahitaji vyupi, boxer, tight, bra, mitandio shungi, nk. Nataka kwa wauzaji wa jumla wa bei poa maana nataka kuchukua mzigo next week.
 
Unatosha sana inategemea unataka kununua nini
Dan vp kwa experience yako mkuu, ninahitaji vyupi, tight, boxer, bra, mitandio, sandle, soksi kwa jumla hapo K/koo. Mtaji unaanzia 5m ila nataka wauzaji wa jumla wa bei poa mkuu, naomba nisaidie kwa ushauri. Ni Dar au Nairobi ndo nafuu, mzigo unaenda Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…