bongonyoo
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 604
- 883
Vipi kama nahitaji soksi, vyupi, tight, bra, mitandio, boksa nk kwa nai itakua rahisi zaidi ya K/koo? Nataka nianze next week kwa mtaji wa 5m, nisaidie ndugu.Mi ninachokifanya naenda nai nafunga Mzigo wangu nikifika dukani nauza jumla na reja reja bei sawa na dar nahakikisha kila pc1 inatoa efu 4 na nasafari kila wiki kwa sehemu niliyopo nategemewa na wenye maduka na wanaouza kwa kutembeza muhimu fanya utafiti wa eneo ulilopo na kujua aina ya nguo zenye mzunguko mkubwa maana biashara si kupamba duka bali bidhaa zitoke.
K/koo siku izi wanamix copy na og na wanakuuzia bei moja.. @honort hope nimekupa idea