Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Vipi kama nahitaji soksi, vyupi, tight, bra, mitandio, boksa nk kwa nai itakua rahisi zaidi ya K/koo? Nataka nianze next week kwa mtaji wa 5m, nisaidie ndugu.
 
Chief ondoa shaka, sisi wengine ni watoto wa kkoo, tukikueleza jambo fuata, machimbo ni mengi ila anza na hayo, mfano mm huwa naagiza direct from Guangzhou kutokna na kujuana na watu. Ila in short mm siuzi bidhaa hizo kwa sasa bado nmestick kuuza vumbi la Congo na bidhaa za dizaini hiyo
mkuu hebu tusaidie na sie tunaotaka kuanza biashara,,,vp bei zake kwa jumla zipo vzr??,,,na je machimbo wadau walioleza hapo juu yapo sawa?,,i mean yana bidhaa hizo kwa jumla?
Trust me ukishindwa nijulishe nikuonyeshe machimbo Mengine . Bidhaa za Kongo zinazohusu nguvu za kiume ninazodili Nazo ni Kama hizi. Nipigie 0713924581
 
nashukuru mkuu,,namba yako nishaicopy na kuihifadhi,,ntakucheki next week km nitahitaji maelekezo zaidi,,,pia vumbi naweza nikakuungisha kidogo nikaitest
 
Habari zenu waheshimiwa...naomba kuulizia wapi naweza nikapata holder za vitambulisho kwa bei nzuri...zile za cotton ambazo sio za kung'aa...ningeweka picha sema sifahamu jinsi ya kuweka picha...ukiniwekea na bei hapa itakua vizuri zaidi
 
hahahah nitakupa mtu akusindikize maana kwa nature ya job yangu sitoki nje weekdays na weekdays shop nyingi ndo zinakua wazi jmos nusu siku possibilty ya kufanikiwa inakua kidogo na jumapili ndo kabsaa.
nakutafuta Sanaaaaa Mkuu
 
NI_PM LILIPO DUKA LAKO NIWE NAKUJA KUFUNGA MZIGO KWAKO MKUU!!

KULE K.KOO TUNAPIGWA SANA NA USUMBUFU MWINGI.
 
Ndio maana mnafia vifuani .. Hayo matakataka yanawamaliza nguvu
 
Hiyo sabuni unapigia nyeto?
 
Wana JF,

Naombeni msaada kwa anaejua maduka ya kariakoo ya jumla ya viatu vya kike na chupi anifaamishe.

Nitafurahi kama mkinipa ushirikiano wanezengwe.

Sio wanazengwe ni Wanazengo. Ahsante.
 
Hivyo vitu vyote unavyovitaka vinapatikana mtaa wa mchikichi na sikukuu kuna maduka ya wachina na wakinga,hapo mchikichi kuna duka maarufu la VICTAN la mchina ambapo asilimia kubwa ya wafanyabiashara wanaenda kuchukua chupi,vest na boxer quality za cotton kwa bei ya jumla mtaa wa Mhonda na msimbazi,yaani ukifika kituo cha mwendokasi msimbazi B ingia kushoto kwako kuna maduka ya nje na ya ndani utakutana na chupi za kila aina ambazo pia mara nyingi wanaenda kuchukua kwa huyo mchina wa Mchikichi,wasomali na hao wakinga.
Nisaidie na mie please, nahitaji vyupi boxer, tight,bra,mitandio shungi, nk, nataka kwa wauzaji wa jumla wa bei poa maana nataka kuchukua mzigo next week
 
Got you, kwa hiyo mchina VICTAN wa mchikichi ndo sometimes anasupply hadi kwa hao wenye maduka ya Msimbazi na Muhonda, km ni hivyo Mchina atakua cheeper zaidi ya hawa wa mhonda. Naenda next week kufanya survey na baada ya kupata bei nzur nachukua mzigo, nikifanikiwa aisee unidai chupa moja ya Wine km unatumiaga, asante saaaana.
 
Weka liwe group ili kila member apate kuchangia machimbo anayoyajua na kuulizia machimbo anayoyataka. Channel utapost unachojiskia wewe admin.
Ni ushauri tu lakini
Mbona Telegram ni zuri zaidi
Maana linauwezo wa kuchukua members wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…