chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 549
- 841
Nakutafuta PM sikupati dada angu kama unaweza kunicheki basi naomba ufanye hivyo!!Wapo sana tena wamekua wengi cha msingi,uwe unadamka mapema ikiwezekana kabsa saa 1 asubuhi ikukute mtaa wa Narung'ombe na Congo.Wafanyabiashara wenzako wanapokua wanakusanya oda ya kuchangia box nawe uwepo ili upate kwa bei nafuu.Inakua kama mnada fulani hivi sample zinazungushwa.Ila angalia usitapeliwa usitoe pesa ako hadi uone mzigo sawa.
Huu uzi umesonga sana kitambo sana sijapita humu.Kila la kheri.
Kuna mtaa wa Agrey na Livingstone kama sikosei karibu na hizo way!! Au mtaa wa Karikoo!!Vipi spea za magari na accesories zake una chimbo lake?
Nafikiri hukunielewa vizuri mkuu.sikumwambia asifungue group telegram bali nilishauri hilo group lake asilifanye liwe channel, liwe group lakawaida ili kila member aweze kupost. Telegram channels hua anaepost ni admin tu.Mbona telegram ni zuri zaidi
Maana linauwezo wa kuchukua members wengi
Habari wadau.
Nataka kuanza biashara ya nguo za mitumba za watoto lakini sifahamu mabelo yanapopatikana.
kwa anayejua wauzaji wa mabelo ya nguo za watoto tafadhali naomba mawasiliano.
Kuna nyuzi zipo humu unaweza pekua pekua.... Mtafute mdau mmoja anaitwa Manengelo..atakusaidia pia
Naomba mnisaidie hiyo link.Nenda inbox shakupa mwongozo
Nenda mtaa wa Shaurimoyo karibu na kituo cha Gerezani.Vipi spea za magari na accesories zake una chimbo lake?
Oooh hapo nimekusomaNafikiri hukunielewa vizuri mkuu.sikumwambia asifungue group telegram bali nilishauri hilo group lake asilifanye liwe channel,liwe group lakawaida ili kila member aweze kupost.telegram channels hua anaepost ni admin tu
Udhaifu wa hili group ni kwamba limefungwa hivyo haliwezi kuleta dhamira tunayoikusudia kwa sababu mchangiaji ni mmoja tu! Wakati watu wana shida zao.
Vitambaa vingi vipo msimbazi/narung'ombe kuna maduka mengi ya washihiri wanauza jumla! Ila kuna vitambaa ambavyo ukifika kule hauvikuti lkn maduka ya rejareja wanavyo! Cjui sasa wanavipatiaga wapi! Hata Mimi natafuta hayo machimbo coz nmefungua duka LA vitambaa! Pls ukiyapata hayo maduka nijulishe kipenziAnayejua chimbo la vitambaa vya jumla
Kwa ajili ya kuuzaView attachment 1239820
Wanauza bei juu huo mtaa nimeshafika