chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 549
- 841
Nakutafuta PM sikupati dada angu kama unaweza kunicheki basi naomba ufanye hivyo!!Wapo sana tena wamekua wengi cha msingi,uwe unadamka mapema ikiwezekana kabsa saa 1 asubuhi ikukute mtaa wa Narung'ombe na Congo.Wafanyabiashara wenzako wanapokua wanakusanya oda ya kuchangia box nawe uwepo ili upate kwa bei nafuu.Inakua kama mnada fulani hivi sample zinazungushwa.Ila angalia usitapeliwa usitoe pesa ako hadi uone mzigo sawa.
Huu uzi umesonga sana kitambo sana sijapita humu.Kila la kheri.