Uganda sijawah kwenda ila Nairob na Dar wanakaribiana kidogo bei ninachofanya kiatu kikitoka kama hakijafika Dar nakiuza chapchap kikifika Dar mi nishakula naacha hivyohivyo.Asante. Kwa experience yako,wapi bora kwa kununua viatu kati ya Dsm, Nai na Uganda
Kwa kwel jmn twenzetu tu hakuna namna
Yeah msijaliHaya hima hima tuliamshe tuliamshe dude. Hakuna kulala maisha haya, ni kusaka pesa tirelessly ili uzeeni our weekend starts on Monday. 😀 Luckily tushapata na mwenyeji huko mtz mwenzetu Danhappy. Hopefully atatupa muongozo murua.
-Kaveli-
Sawa sawa mkuu na hivi vyuma vimekaza ni lazima kupambana.Haya hima hima tuliamshe tuliamshe dude. Hakuna kulala maisha haya, ni kusaka pesa tirelessly ili uzeeni our weekend starts on Monday. 😀 Luckily tushapata na mwenyeji huko mtz mwenzetu Danhappy... hopefully atatupa muongozo murua.
-Kaveli-
Nguo za kiume na za kike.Msaada dada wa huko nairobi. nina mtaji wa 1,000,000
Ningependa sana ziwe nguo za kiume na zakikeUnatosha sana inategemea unataka kununua nini
UtapataNingependa sana ziwe nguo za kiume na zakike
Sasa nauli tu ya kwenda kule si mtaji unaisha kabisa. Na mzigo unasafirishwaje sasa kuja Tz ? Vp ushuru pia?Tafta hela uende china. Kuna masoko yao kule vitu bei cheap kweli. Kuna vijana walianza kdgo kdgo tu this day wanafanya vizuri kweli. Just know ur niche.
Vitu vingine in china the prices are lower kuliko hata hapo Kariakoo.
[emoji1] [emoji1] Wabongo bhana, mi nilikuja Bongo kuchukua mitumba. Nilirudi na pesa zangu maana kila niliyekuwa namwambia shida yangu ya kupata chimbo anatabasamu kwanza akijesemea moyoni tayari nshapata dili.Hongera aisee mana ni wagumu kusema hata uwachinje[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my Fire2 3G using JamiiForums mobile app
Nimekuja kugundua wenye mitaj midogo wanafaidika mana kwenda china tu mtaji huoSasa nauli tu ya kwenda kule si mtaji unaisha kabisa. Na mzigo unasafirishwaje sasa kuja Tz? Vp ushuru pia?
Safi leo nina mteja wangu wa musoma ngoja niingie machimbo ya magaun maana kk wanatuuzia bei za juu kumbe ukiingia machimbo unakula faida safi sana.Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Weka picha na beiKWA WANAOHITAJI SIMU KWA BEI NAFUU YA JUMLA MIE NDO NINAMILIKI HILO CHIMBO KARIAKOO.
0625923853
Na aina na idadi ya lets say jumla i pieces ngapiWeka picha na bei
Sasa unadhani watakwambia halafu wakale wapi? Pia wenye mizigo wanataka madalali.[emoji1] [emoji1] Wabongo bhana. Mi nilikuja Bongo kuchukua mitumba. Nilirudi na pesa zangu maana kila niliyekuwa namwambia shida yangu ya kupata chimbo anatabasamu kwanza akijesemea moyoni tayar nshapata dili.
Dar tafuta chimbo kwa mchina direct zipo za kutosha na ni ndan ya nchi hutalipa ushuru.Asante. Kwa experience yako, wapi bora kwa kununua viatu kati ya Dsm, Nai na Uganda
Nipe maelezo basi hapo,kwenda China tu ni mtaji imekaaje hiyo. Ukifika huko unaweza pata vibarua na kupata pesa za kununua mizigo?Nimekuja kugundua wenye mitaj midogo wanafaidika mana kwenda china tu mtaji huo
Sasa nauli tu ya kwenda kule si mtaji unaisha kabisa. Na mzigo unasafirishwaje sasa kuja Tz ? Vp ushuru pia?
Una akili sana mkuuMi kuna machinga nilikuwa nachukua mzigo kwake,hivyo nampa pesa ye anazunguka kwenda kuchukua mzigo.Ukimuuliza asemi,siku nilienda na vijana wangu watatu ambapo yeye hakuwaona.Hivyo nilivyomkabidhi pesa akaondoka,vijana wangu wakamfuatilia mpaka wakajua maduka yote aliyoingia.Tangia siku hiyo hajaniona na majamaa wa madukani washanizoea hats bila pesa wananipa mzigo au wanatuma mkoani.