Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Naomba chimbo la miwani,zile frame kali sana..ambazo unaweza kuzitumia katika lenz za macho
 
Karibu Dukani kwa nguo zote za Kiume
Tupo KARIAKOO
Mtaa wa KONGO NA AGGREI
Jengo la Capetown underground
Frem/Duka Namba 5
Au nicheki WhatsApp number 0785182108

Waweza nicheki Instagram


Au Ukurasa huu pia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafta hela uende China. Kuna masoko yao kule vitu bei cheap kweli. Kuna vijana walianza kidgokidgo tu this day wanafanya vizuri kweli. Just know ur niche.

Vitu vingine in China the prices are lower kuliko hata hapo Kariakoo.
Na haya mafua ya corona he he
 
dingimtoto kuweka Bei Instagram inakua changamoto sana kwa Sababu Kuna Hawa wanaouza Online so hua wanataka picha hizo hizo nazopiga nao wanatangaza kwa kuweka Bei zao...maana ndo kazi yao ya kuwaingizia kipato...Mimi nikiweka Bei tuu inamaana wao hawatapata Tena wateja so tunaishi hivyo...Ila mteja akinicheki kwa WhatsApp Nina mjibu or akija dukani anakutana na Bei ya Jumla Jumla piah.
Bei Zetu za Jumla Jumla
Tshirt Elfu 13
Form 6 Tshirt 14
Mashati Elfu 14
Sweta Elfu 14
Vipensi Elfu 13
Kofia 7500
Soksi 4500
Ungekuwa unaweka na bei yaani jumla kiasi hiki rejereja kiasi hiki,
ktk page yako hata huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…