Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
zile type za suruali za kutelezaNgozi ya nyoka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zile type za suruali za kutelezaNgozi ya nyoka?
Karibu mamiiAsante sana ni huu nnaoutaka ubarikiwe.
Msaada wa nini?Wazee Wa nondo naomba kuuliza mtaji wa million moja unaweza tosha biashara ya nguo?
Naomben msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hajapatikana wa kukupa mwongozo? Umefanikiwa kulipata hilo chimbo?naomba mtu anielekeze chimbo la kuuza vifaa vya ushonaji kwa jumla
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaou naomba msaada wenu ni wapi wanauza nguo za kiume kariakoo kwa bei ya jumlaa? (Jeans,t-shirt na mashati niwap nitapata kwa bei chee mana nataka ninunue jumla nikauze kwa bei ya reja reja mkoani
Naombeni ushirikiano wenu ndugu zangunView attachment 1335398View attachment 1335399View attachment 1335401View attachment 1335402
Sent using Jamii Forums mobile app
Na haya mafua ya corona he heTafta hela uende China. Kuna masoko yao kule vitu bei cheap kweli. Kuna vijana walianza kidgokidgo tu this day wanafanya vizuri kweli. Just know ur niche.
Vitu vingine in China the prices are lower kuliko hata hapo Kariakoo.
Na mimi pia ningependa kujua chimbo la vifaa vya ushonajiMkuu hajapatikana wa kukupa mwongozo? Umefanikiwa kulipata hilo chimbo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa unaweka na bei yaani jumla kiasi hiki rejereja kiasi hiki,
ktk page yako hata huku
Samples baadhi Ni hizoooHebu weka sample ya mashati Basi,hiyo Bei nimeikubali