Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wakubwa kwa anaefahamu mahali wanapouza vijiredio vidogo vidogo na earphone dar-es-salaam kwa bei nzuri ya jumla tafadhari nijulishe nategemea kuanza hii biashara mwezi ujao.

kweli naweza kupata earphone za jumla bei chini ya 1000 na vijiradio vidogo chini ya elfu 5000.
 
Earphone nyingi jumla zina anzia 1000 na redio nyingi huanzia 7000
 

akikujibu nistue
 
Ndugu hizo earphone. za buku zinafananaje ndo zile za hovyohovyo zinauzwa kwa mafungu zenye mipira ya plastic?
 
Mimi natafuta chimbo la hereni aina zotee kwa bei ya jumla kariakoo nataka nikafungashe huo mzigo mwenye kujua tafadhali naomba msaada cc charty
Wewe ndo msaada wetu
 
Mimi natafuta chimbo la hereni aina zotee kwa bei ya jumla kariakoo nataka nikafungashe huo mzigo mwenye kujua tafadhali naomba msaada cc charty
Wewe ndo msaada wetu
Ukipata na Mimi niunganishe please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…